JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haya majanga jirani wa pekee ndie utaweza nisaidia.

Sijaamini kabisa wameiba hadi mapambo wanaacha vijiko tena vya plastic hawa hawana huruma kabisa
Na mapambo wamechukua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kwahiyo ulikuwa unajipambia ndani kwako mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23],duuh hatar sana aiseeh hao michepuko wezi sio watu wazuri
 
Wametia shida si kutulizana.

Kama shida ndio kutulia jirani heri nisitulie. Hadi mswaki wameiba hivi walikusudia nini jirani[emoji23] [emoji23]
Aiseeh wanataka uje kudhalilishwa jf na mpenzi mpya utakayempata sidhani kama ataweza kuvumilia hiyo habari ya kinywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie banah sitaki kucheka usiku huu
 
Aiseeh wanataka uje kudhalilishwa jf na mpenzi mpya utakayempata sidhani kama ataweza kuvumilia hiyo habari ya kinywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie banah sitaki kucheka usiku huu
Jirani hawa itakuwa walipanga kwa kweli kesho asubuhi uje hapa uone jirani yako nyumba ilivyobaki utadhani pango la kale. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ntakuja kukuona jirani yangu, pole sana jamani ila uache michepuko sasa na wewe utulie utanichosha mke wa mwenzio
Ohoooh kushauri kidume aache mchepuko ni sawa na kumwambia mtu ajitahidi asinywe Maji, sana sana atabadili mbinu za uchepukaji, we mshauri tu aangalie maji anayokunywa angalau yawe safi au salama au vyote, [emoji12] [emoji85] [emoji40][emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umenena mkuu, maadam ni mtu mzima mwenzetu basi atachagua mbivu na mbichi asituchoshe siye [emoji6]
 
Jirani nije kuchukua kikombe ninywe maji maana hata vikombe kama unavyojua mwenzio nakiua hapa jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dirty Head kikombe cha maji usiku huu, hapa naona unataka kusababisha kesi sio bure[emoji40] ila mkuu ukienda nishtue nikusindize na mimi nipajue kwa jirani yako[emoji12] [emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jirani kiboko, embu msindikize akapewe nakoz akili imkae sawa
 
Back
Top Bottom