Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Na mapambo wamechukua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kwahiyo ulikuwa unajipambia ndani kwako mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23],duuh hatar sana aiseeh hao michepuko wezi sio watu wazuriHaya majanga jirani wa pekee ndie utaweza nisaidia.
Sijaamini kabisa wameiba hadi mapambo wanaacha vijiko tena vya plastic hawa hawana huruma kabisa