JamiiForums Usiku wa manane

So sad hata nikitumia zike step zangu za kulala zinagoma wacha nimalize bando may be i can sleep
Heeeh! kumbe kulala kuna stepu zake? ndo maana mi sipatagi usingizi ni kwakuwa situmii step ..............naomba unifundishe hizo steps tafadhali πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Huna lolote ulivyoona nimekubali tu, ukala kona mazima.......ukajua utaumbuka maana na Manga ML naye akakimbia pia kijiwe kama Kichwa Kichafu alivyokimbia kesi ya jirani yake! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Rudini tu kijiweni, nilikuwa nawapima tu imani sikukubali kikwelikweli
 
Haya haya amkeni kumekucha...........wakulima,wafanyakazi,wafanyakazi,wanafunzi tukawajibike kuijenga Tanzania mama!
 
Ohooh usinifanyie ivyo Bundi Thad,
Ujue nimeshaandaa vifaa vyote vya kufundishia[emoji40]
Sad enough umenifanya nichonge penseli yangu mpya niliyokua sitarajii kuichonga kwa sasa[emoji39]
Alafu mimi kukimbia Uzi ni sawa na fisi kuacha kula mizoga[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…