Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Leo naona umekua popo[emoji39]Bora utulindie uzi,maana naona watu leo wanakula zao bata..........wanamalizia weekend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo naona umekua popo[emoji39]Bora utulindie uzi,maana naona watu leo wanakula zao bata..........wanamalizia weekend
Tupo mkuu, popo hii mida hawaiwezi, hii ni mida ya Bundi.Mbona mmelala mazee? Upopo umewashinda?
Hivi sasa n saa tisa na dakika sabaMabundi mabundi, sio mapopo maaa, sio mapopo maaa! Ni mabundi... Hivi sasa ni saa tisa na dk tano
PumzikaHivi sasa n saa tisa na dakika saba
So sad hata nikitumia zike step zangu za kulala zinagoma wacha nimalize bando may be i can sleepHaya nalala
Hahahah! .........si unajua popo ni ndege mnyama? Unyama umeisha......sasa natamba kama ndege bundi!Leo naona umekua popo[emoji39]
We mwenyewe nawasiwasi na ubundi wako maana saa 3:55 ushalalaTupo mkuu, popo hii mida hawaiwezi, hii ni mida ya Bundi.
Heeeh! kumbe kulala kuna stepu zake? ndo maana mi sipatagi usingizi ni kwakuwa situmii step ..............naomba unifundishe hizo steps tafadhali 😉😉😉😉So sad hata nikitumia zike step zangu za kulala zinagoma wacha nimalize bando may be i can sleep
Huna lolote ulivyoona nimekubali tu, ukala kona mazima.......ukajua utaumbuka maana na Manga ML naye akakimbia pia kijiwe kama Kichwa Kichafu alivyokimbia kesi ya jirani yake! 😀😀😀😀 Rudini tu kijiweni, nilikuwa nawapima tu imani sikukubali kikwelikweli[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hakika umechagua fungu lililo jema[emoji39]
Siku nilizopotea nilikua nakuandalia welkam nyiu student[emoji6]
Manga ML weka bili ya viroba duka la mangi kwa mwaka mzima kwa kuniasist binti akaelewa somo[emoji120] [emoji125]
Apumzike kwa amani si eti?Pumzika
Hizo salamu nilimtuma njiwa...........na njiwa alisharudi kwangu akanambia umekataa salamu zangu![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hizo salamu kwa kweli sijaziona, au labda ulizituma kipitia barua?[emoji12]
Ngoja niendelee kuzisubiri[emoji40]
Aaaah ata mm sielewi huu mchepuko umenipa nn, inawezekana sina akili eti?[emoji16][emoji16]una akili wew umelala na mkeo unawaza mchepuko
Ndio una akiliAaaah ata mm sielewi huu mchepuko umenipa nn, inawezekana sina akili eti?
Ohooh usinifanyie ivyo Bundi Thad,Huna lolote ulivyoona nimekubali tu, ukala kona mazima.......ukajua utaumbuka maana na Manga ML naye akakimbia pia kijiwe kama Kichwa Kichafu alivyokimbia kesi ya jirani yake! 😀😀😀😀 Rudini tu kijiweni, nilikuwa nawapima tu imani sikukubali kikwelikweli