Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Huyo njiwa mpime mkojo, huenda kuna mtu amemdanganya na balimi akaona aziache hapo hapo[emoji40] [emoji125]Hizo salamu nilimtuma njiwa...........na njiwa alisharudi kwangu akanambia umekataa salamu zangu!
Siji nimeghairi............nitaenda kwa jje's anifundisheOhooh usinifanyie ivyo Bundi Thad,
Ujue nimeshaandaa vifaa vyote vya kufundishia[emoji40]
Sad enough umenifanya nichonge penseli yangu mpya niliyokua sitarajii kuichonga kwa sasa[emoji39]
Alafu mimi kukimbia Uzi ni sawa na fisi kuacha kula mizoga[emoji12]
Hata me naona[emoji39]Mmmh! leo niko mwenyewe hapa...
Njiwa wangu hajawahi nidanganya namwamini kuliko mama yangu 😉😉😉Huyo njiwa mpime mkojo, huenda kuna mtu amemdanganya na balimi akaona aziache hapo hapo[emoji40] [emoji125]
Hahaha jje's nilimwona na Kichwa kichafu wakielekea chini ya mti mmoja kufundishana[emoji40]Siji nimeghairi............nitaenda kwa jje's anifundishe
Hebu tuache masihara kwanza,hivi ulipotelea wapi? Au watu wasiojulikana walikuteka kama walivyomteka joti?Hata me naona[emoji39]
Ndo kaanza uongo sasa, kuwa makini[emoji6]Njiwa wangu hajawahi nidanganya namwamini kuliko mama yangu 😉😉😉
Acha uongo bwana, Kichwa Kichafu amelala mapema ili aniote..........Hahaha jje's nilimwona na Kichwa kichafu wakielekea chini ya mti mmoja kufundishana[emoji40]
Usiseme kama mimi ndo nimekwambia
Basi ngoja nimtume bundi mwenzio Manga ML, nione kama yeye atafikisha salamu zangu kwakoNdo kaanza uongo sasa, kuwa makini[emoji6]
Hahahaha nilikua nimetekwa kidogo na kazi za shamba, huku kijijini kwetu October tunauita mwezi mnono[emoji39]Hebu tuache masihara kwanza,hivi ulipotelea wapi? Au watu wasiojulikana walikuteka kama walivyomteka joti?
Ohoooh, inaonyesha huyu jirani yake Neybright sio wa mchezo mchezo, we subiri jje's na Kichwa kichafu waje uwahoji uone watakavyobabaika[emoji12]Acha uongo bwana, Kichwa Kichafu amelala mapema ili aniote..........
Hahaha zile za juzi ulizompa anifikishie mpaka Leo sijazipata[emoji125]Basi ngoja nimtume bundi mwenzio Manga ML, nione kama yeye atafikisha salamu zangu kwako
Naona una mpango wa kuwafanya wasije hapa we si unajua wakipataga kesi wanavyotukimbia humu ndani?Ohoooh, inaonyesha huyu jirani yake Neybright sio wa mchezo mchezo, we subiri jje's na Kichwa kichafu waje uwahoji uone watakavyobabaika[emoji12]
Niko tayari kutoa ushahidi
Nahisi kila akija kukutafuta anakuta ushaenda Mirembe day...........vp lakini maendeleo yako?Hahaha zile za juzi ulizompa anifikishie mpaka Leo sijazipata[emoji125]
Hahaha wasipokuja ndo tunahitimisha kesi kwamba tuhuma ni za kweli, bora wajitokeze wajitetee[emoji6]Naona una mpango wa kuwafanya wasije hapa we si unajua wakipataga kesi wanavyotukimbia humu ndani?
Hivi jirani yako Neybright yuko wapi siku hizi? Nimemmiss
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Nahisi kila akija kukutafuta anakuta ushaenda Mirembe day...........vp lakini maendeleo yako?
Kama namuona jje's atakavyojitetea kuwa hakumbuki kilichoendelea.........huku KK akizikimbia tuhuma.Hahaha wasipokuja ndo tunahitimisha kesi kwamba tuhuma ni za kweli, bora wajitokeze wajitetee[emoji6]
Neybright kwakweli ana jirani mmoja tu Kichwa Kichafu ambae nimesikia hutekana Mara kwa Mara na wakati mwingine kupigana chabo[emoji40] [emoji85] [emoji125]
Nipo shost, nimejaa tele nawachungulia tuu [emoji6]Naona una mpango wa kuwafanya wasije hapa we si unajua wakipataga kesi wanavyotukimbia humu ndani?
Hivi jirani yako Neybright yuko wapi siku hizi? Nimemmiss
Hahahah....hayo mavazi hayakufikaga huku kwetu Nanjilinji,umenitoa kapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Saivi niko strong kama gauni la crinplini na viatu vya chachacha.