JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ohooh usinifanyie ivyo Bundi Thad,
Ujue nimeshaandaa vifaa vyote vya kufundishia[emoji40]
Sad enough umenifanya nichonge penseli yangu mpya niliyokua sitarajii kuichonga kwa sasa[emoji39]
Alafu mimi kukimbia Uzi ni sawa na fisi kuacha kula mizoga[emoji12]
Siji nimeghairi............nitaenda kwa jje's anifundishe
 
Hebu tuache masihara kwanza,hivi ulipotelea wapi? Au watu wasiojulikana walikuteka kama walivyomteka joti?
Hahahaha nilikua nimetekwa kidogo na kazi za shamba, huku kijijini kwetu October tunauita mwezi mnono[emoji39]
 
Ohoooh, inaonyesha huyu jirani yake Neybright sio wa mchezo mchezo, we subiri jje's na Kichwa kichafu waje uwahoji uone watakavyobabaika[emoji12]
Niko tayari kutoa ushahidi
Naona una mpango wa kuwafanya wasije hapa we si unajua wakipataga kesi wanavyotukimbia humu ndani?
Hivi jirani yako Neybright yuko wapi siku hizi? Nimemmiss
 
Naona una mpango wa kuwafanya wasije hapa we si unajua wakipataga kesi wanavyotukimbia humu ndani?
Hivi jirani yako Neybright yuko wapi siku hizi? Nimemmiss
Hahaha wasipokuja ndo tunahitimisha kesi kwamba tuhuma ni za kweli, bora wajitokeze wajitetee[emoji6]
Neybright kwakweli ana jirani mmoja tu Kichwa Kichafu ambae nimesikia hutekana Mara kwa Mara na wakati mwingine kupigana chabo[emoji40] [emoji85] [emoji125]
 
Kama namuona jje's atakavyojitetea kuwa hakumbuki kilichoendelea.........huku KK akizikimbia tuhuma.
Lakini hebu kwanza.......kisheria,anayetuhumu anapaswa kuthibitisha. vp una uthibitisho wowote wa tuhuma hizi?
 
Back
Top Bottom