Hahahaa tulikuja kutakiana sikunjema na kufunga getiWe we na dingimtoto mlipotea ghafla katika mazingira ya kutatanisha, nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu,Mara ghafla nawaona mmeibuka tena pamoja asubuhi kuja kufunga geti
Pole ila yanakaribia kuishaaWe ncheke tu, nimekonda hadi kibyongo!
Asante, ngoja ntarudi.Pole ila yanakaribia kuishaa
Nahisi mlikuja kuzuga tusijue kama mlikuwa wote.....Hahahaa tulikuja kutakiana sikunjema na kufunga geti
ushilawadu unauweza kweli kweliWe we na dingimtoto mlipotea ghafla katika mazingira ya kutatanisha, nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu,Mara ghafla nawaona mmeibuka tena pamoja asubuhi kuja kufunga geti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kimbia mkuu,pepo la ngono halikemewi Bali hukimbiwaLeo yamenikuta yaani nimejikuta tu naeaza kwenda sinza maana usingizi umekata afu mawazo ya kingonongono yamenitawala. Ngoja nipambane na hili pepo shindwa shetani niache nilale.
Weee hekima sifuria, mwenzako kipisi imepigwa banio. Naona iko njiani inafuatilia. Hiyo maneno ya kule chumbani we inaletea batoto jomoni.Leo yamenikuta yaani nimejikuta tu naeaza kwenda sinza maana usingizi umekata afu mawazo ya kingonongono yamenitawala. Ngoja nipambane na hili pepo shindwa shetani niache nilale.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kurukaruka jibu shitakaushilawadu unauweza kweli kweli
Shtaka ushajibiwa, vizuri na Inna ila ngoja niongezee nyama kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kurukaruka jibu shitaka
Jomoniii kila mtu alikua kwakeeNahisi mlikuja kuzuga tusijue kama mlikuwa wote.....
Shitaka ni je,mlikuwa wapi?[emoji12] [emoji12]
Kwahiyo ilivyoisha tu chaji,ya Inna pia ikaishiwa chaji,na zote zikajaa muda mmojaShtaka ushajibiwa, vizuri na Inna ila ngoja niongezee nyama kidogo
Mimi simu iliisha chaji
Haka kapepo leo kiboko. Nimeoga hakatoki.... Jamani sinza kuna nini mbona kuna kitu kinaniambia niende? Dah! Balaa gani hili jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kimbia mkuu,pepo la ngono halikemewi Bali hukimbiwa
Asee.!!! Nyota zetu labda zinaendana ndiomana tunafanya vitu kwa pamoja[emoji4]Kwahiyo ilivyoisha tu chaji,ya Inna pia ikaishiwa chaji,na zote zikajaa muda mmoja
Neybright njoo unisaidie kuunganisha dots kabla sijatoa hukumu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Tuko poa.Me pia this week naomba kua mmoja wenu, hamjambo lkn?
Washaanza safari ya kuelekea kwao kuhesabiwa,nasikia wameamua kwenda kwa miguu maana vyuma vimekaza...[emoji12] [emoji12]Jomoniii kila mtu alikua kwakee
Hivi jje's na kaka Nleterewa wako wap
Hiyo kazi kama ina hela. Mimi nitalinda mwezi wote mkuu.Tuko poa.
Karibu sana kiongozi naomba nikukabidhi funguo....utakuwa mlinzi was zamu kwa juma lote hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ni ya kujitolea kama sungusungu.Hiyo kazi kama ina hela. Mimi nitalinda mwezi wote mkuu.
Mkuu nashukuru sana, nadhan ni mapema sana kunikabidhi jukumu hilo, wacha nijipime uwezo wang kwanza kama nitastahimili.Tuko poa.
Karibu sana kiongozi naomba nikukabidhi funguo....utakuwa mlinzi was zamu kwa juma lote hili