Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Hahahaa tulikuja kutakiana sikunjema na kufunga getiWe we na dingimtoto mlipotea ghafla katika mazingira ya kutatanisha, nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu,Mara ghafla nawaona mmeibuka tena pamoja asubuhi kuja kufunga geti