Nimeshaacha hayo makitu,niko bize na kusawazisha vilima na kufukia mabonde maana ufalme wa Mungu unakaribia [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii bila shaka ni bombadia ya 12 ya offer imeongea sio wewe[emoji41] [emoji12]
Huyo mwalimu hajui kufundisha ndio maana anatumia bakora badala ya kutumia zana za kufundishia ndio maana huwa simwelewagi kabisaEti Thad, ni kweli bila bakora Irabu hazipandi kwa kichwa chako?
Huo sasa ni sawa na ile mikataba ya malkia iliyowapa uhalali wa kumiliki ardhi ya wahenga wetu kwa miaka 999Hivi ulikumbuka kusoma mkataba vizuri, Ada hairudishwi hata kwa mtutu[emoji42]
Mmmmhhhh.Huyo mwalimu hajui kufundisha ndio maana anatumia bakora badala ya kutumia zana za kufundishia ndio maana huwa simwelewagi kabisa
Wivu sina ila roho inauma....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaha nikafikiri na kukaa kote boarding mirembe tunakusaidia kumbe ndo tumekupoteza kabisa, si umesema wivu umeisha kitambo huu sasa umetokea wapi?[emoji57] [emoji125]
Hallelujah, sifa na utukufu ni kwake yeye aliyetuumba kwa namna ya kipekee na ya kustaajabisha.Nimeshaacha hayo makitu,niko bize na kusawazisha vilima na kufukia mabonde maana ufalme wa Mungu unakaribia [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kweli adui mwombee njaaIngependeza zaidi kama ungemwongezea na ile adhabu ya kichura chura komredi[emoji40] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] Zawadi !? Kwa lipi nililolifanya la kustahili zawadi? Au umesahau kuwa zawadi huwa ni ya ushindi tu? Kamwulize Sikamona atakukumbusha hiloOhoooh huku tumefika mbali sana, basi tufanye kesho uwahi darasani kuna zawadi yako nzuri nimekuandalia[emoji39]
Wewe nae hutaniwi[emoji12] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Huyo mwalimu hajui kufundisha ndio maana anatumia bakora badala ya kutumia zana za kufundishia ndio maana huwa simwelewagi kabisa
Huyo mchokozi tu,nilishamwuliza siku za nyuma kuwa tangu lini baunsa akawa na chura? [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaha, Mh Bundi Thad majibu tafadhali[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo sasa ni sawa na ile mikataba ya malkia iliyowapa uhalali wa kumiliki ardhi ya wahenga wetu kwa miaka 999
Ohooo nina usingizi nitaifanya wiki ijayoMmmmhhhh.
Ebu jaribu hii hesabu nione ushalo wa Mwl wako.
Badili 2½% kuwa sehemu.
Ibnur!Hallelujah, sifa na utukufu ni kwake yeye aliyetuumba kwa namna ya kipekee na ya kustaajabisha.
Nikutakie usiku mwema, nisije badae nikasinzia kwa Ibada. Alamsiki.[emoji120] [emoji125]
Salama komredi, karibu ufunguo uko chini ya jiwe utatusaidia kufunga geti kwa usaidizi tukuka wa bundi mrembo baunsa Thad.Pooooopoz niajeee
Nilisahau jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]Huyo mchokozi tu,nilishamwuliza siku za nyuma kuwa tangu lini baunsa akawa na chura? [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mchokozi tu,nilishamwuliza siku za nyuma kuwa tangu lini baunsa akawa na chura? [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Najua unataka ukaibie jibu huko, ndio uje ufanye!Ohooo nina usingizi nitaifanya wiki ijayo
Usisahau tena [emoji18] [emoji18]Nilisahau jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hapo kwenye mrembo tu ndo umekosea...kwingineko umepatia kabisaSalama komredi, karibu ufunguo uko chini ya jiwe utatusaidia kufunga geti kwa usaidizi tukuka wa bundi mrembo baunsa Thad.