JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimeshaacha hayo makitu,niko bize na kusawazisha vilima na kufukia mabonde maana ufalme wa Mungu unakaribia [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hallelujah, sifa na utukufu ni kwake yeye aliyetuumba kwa namna ya kipekee na ya kustaajabisha.
Nikutakie usiku mwema, nisije badae nikasinzia kwa Ibada. Alamsiki.[emoji120] [emoji125]
 
Ohoooh huku tumefika mbali sana, basi tufanye kesho uwahi darasani kuna zawadi yako nzuri nimekuandalia[emoji39]
Wewe nae hutaniwi[emoji12] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] Zawadi !? Kwa lipi nililolifanya la kustahili zawadi? Au umesahau kuwa zawadi huwa ni ya ushindi tu? Kamwulize Sikamona atakukumbusha hilo
 
Back
Top Bottom