Sorry kwa kuchelewa ku-reply, nilipitiwa na usingizi..Asante sana, shukrani sana kwa Mungu, nami inekua njema japo si kwa ukamilifu sana.
I'm happy for you.
Unfortunately nimeamka tena kama jana!Sorry kwa kuchelewa ku-reply, nilipitiwa na usingizi..
Pole mkuu, najua ni changamoto katika utafutaji wa mkate wa kila siku, cha kushukuru ni kuwa umerudi salama ili kujipanga na mapambano ya kesho pamoja na kurekebisha pale panapohitajika.
Asante sana kwa kunijulia hali.
God bless you!!! 🙏🙏
🤣🤣🤣Unfortunately nimeamka tena kama jana!
Asante kwa baraka , asante sana.
Hata usijali kwa kuchelewa kujibu, kwanza kwanini umeaka muda huu isije kuwa kama jana!
Afadhali umeamka kwa hiari, i lol a si wengine tumejikuta kuamka bila kupenda, na kulala tena inategemea.🤣🤣🤣
Kwahiyo ikifika mida hii ndo unakuwa macho
kama jana?
Pole jamani
Niliamka kumalizia kazi flani moja hv!!!
Hapa ni "pole tu kwa kazi" aisee, japo nimeshamaliza ila sio kwa usiku huu.Afadhali umeamka kwa hiari, i lol a si wengine tumejikuta kuamka bila kupenda, na kulala tena inategemea.
Pole kwa kazi, au wanasemaga hongera kwa kazi
Labda!Jibembeleze
Lugha nzuri ni hongera au pongezipole tu kwa kazi"
Haya bhana.Labda!
Pongezi kwa kazi nzuriLugha nzuri ni hongera au pongezi
Ni kweli kabisa , lakini hata mazingira yanajishuhudia.Haya bhana.
Japo tuko nyuma ya keyboard🙃
Kwa maana hio pole kwa kazi inakuwa ni kinyume na hivyo labd?Pongezi kwa kazi nzuri
Hongera kwa kufanya kazi kwa ufanisi🙂↔️🫨🙂↕️
Wenza wengine huamka katikati ya usiku kimya kimya na kuanza kuchati😅😅Ni kweli kabisa , lakini hata mazingira yanajishuhudia.
And you leo amelala tena amekuacha macho🤣
Mh, noana miujiza tu.Kwa maana hio pole kwa kazi inakuwa ni kinyume na hivyo labd?
😯Mh, noana miujiza tu.
Hata naelewa sasa...
Mhh! Hii inaweza vipi kufanya kazi?Wenza wengine huamka katikati ya usiku kimya kimya na kuanza kuchati
Kama vile hafanyi fair, au wewe ndio haufanyi fair.ameniacha tena na leo