Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Sorry kwa kuchelewa ku-reply, nilipitiwa na usingizi..Asante sana, shukrani sana kwa Mungu, nami inekua njema japo si kwa ukamilifu sana.
I'm happy for you.
Pole mkuu, najua ni changamoto katika utafutaji wa mkate wa kila siku, cha kushukuru ni kuwa umerudi salama ili kujipanga na mapambano ya kesho pamoja na kurekebisha pale panapohitajika.
Asante sana kwa kunijulia hali.
God bless you!!! 🙏🙏