JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Asante sana, shukrani sana kwa Mungu, nami inekua njema japo si kwa ukamilifu sana.
I'm happy for you.
Sorry kwa kuchelewa ku-reply, nilipitiwa na usingizi..
Pole mkuu, najua ni changamoto katika utafutaji wa mkate wa kila siku, cha kushukuru ni kuwa umerudi salama ili kujipanga na mapambano ya kesho pamoja na kurekebisha pale panapohitajika.

Asante sana kwa kunijulia hali.
God bless you!!! 🙏🙏
 
Unfortunately nimeamka tena kama jana!

Asante kwa baraka , asante sana.
Hata usijali kwa kuchelewa kujibu, kwanza kwanini umeaka muda huu isije kuwa kama jana!
 
🤣🤣🤣
Kwahiyo ikifika mida hii ndo unakuwa macho
kama jana?
Pole jamani

Niliamka kumalizia kazi flani moja hv!!!
 
Afadhali umeamka kwa hiari, i lol a si wengine tumejikuta kuamka bila kupenda, na kulala tena inategemea.
Pole kwa kazi, au wanasemaga hongera kwa kazi
 
Hapa ni "pole tu kwa kazi" aisee, japo nimeshamaliza ila sio kwa usiku huu.
Jibembeleze au bembelezwa utalala tu mpwa 😎
 
Back
Top Bottom