Mchumiajuone
Member
- Dec 15, 2016
- 66
- 33
Leo na mimi nimeingia JF night shift
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante my dearOkey mpz ulale salama
ney yupo mkuu utabaki nae humu [emoji3][emoji3][emoji3]Pole, nahisi hapa patabaki wazi leo maana naona hata Neybright naye kausingizi kashamwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ney yupo mkuu utabaki nae humu [emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu sana aiseehLeo na mimi nimeingia JF night shift
Hata mimi hujui niko wapi kweli?Teh! Teh! Eti ulinuna,si ungewaita jirari zako waje kukupa kampani?
Hivi wako wapi siku hizi jirani zako akina Kichwa Kichafu, Nleterewa, jje's,Manga ML.............. n.k?
Niambie mond eti mpenzi iceman yupo wapi?Mpenzii ney
Niambie mond eti mpenzi iceman yupo wapi?
Salamu zake najihis kuzichoka ujue
Hahahah! Bila shaka ulikuwa kitandani..........ukiwa fofofo 😉😉Hata mimi hujui niko wapi kweli?
Hatimae waonekana live, baada ya kukumiss mno mpaka nikawa nakuona kwenye glass ya maji 🙂🙂🙂🙂🙂
Karibu sana uwanjani.Oyah oyaaah mida yetu imefika
Thad nilikuwa silali nakuwaza wewe.Hatimae waonekana live, baada ya kukumiss mno mpaka nikawa nakuona kwenye glass ya maji 🙂🙂🙂🙂🙂
Karibu mgeni mwenyeji,aponeHodi humu ndani
Lindo haliwezi kuwa jema bila uwepo wako...........
Nimekaribia, aka popo kongwe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Karibu mgeni mwenyeji,apone