Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Ndugu yangu, hiyo itakuwa ni sawa na kusubiri embe chini ya mwarobaini..........katu hakutakuwa na mrejeshoNgoja tusubiri mpokea salamu kama ataleta mrejesho kama kazipata salamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, hiyo itakuwa ni sawa na kusubiri embe chini ya mwarobaini..........katu hakutakuwa na mrejeshoNgoja tusubiri mpokea salamu kama ataleta mrejesho kama kazipata salamu
Nilikumiss mno best,ndo maana nakwambia toroka uje hapa chako n' chako, utapona kabisa[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
Sasa umeonyesha ni jinsi gani ulizuga kunimis, boarding sio pazuri ujue[emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha jichoree mwenyewe utoroke uje
Hahaha ujue nilivyofungua Uzi nikakuona nilipona kabisa, sema baada ya kuona kuna mtu unamwona kwenye glass nikarudi kule kule[emoji40]Nilikumiss mno best,ndo maana nakwambia toroka uje hapa chako n' chako, utapona kabisa
Utakuwa hulali mchana wewe,ndoto za mchana ni za kweli tupu........😉😉😉😉Hahaha ujue nilivyofungua Uzi nikakuona nilipona kabisa, sema baada ya kuona kuna mtu unamwona kwenye glass nikarudi kule kule[emoji40]
Ila saivi angalau umenifariji kwa kuniota mchana (sijawahi kuona ndoto ya kweli mchana)[emoji125]
Salama kabisa bundi ArleN:Wasalaam mabundi wote humu!
Bundi wewe ulipotelea wapi? au na wewe ulikuwa unatafuta watoto?Wasalaam mabundi wote humu!
Hao majirani ni waarabu wa pemba,wanajuana kwa vilembaNaona Kichwa Kichafu ashajitwalia jirani yake mpendwa Neybright na kuelekea kusikojulikana[emoji40]
Hahaha unanidanganya kwakweli, mbona nimeota wiki nzima ntakua head prefect wa Mirembe mpaka Leo sijawa[emoji6]Utakuwa hulali mchana wewe,ndoto za mchana ni za kweli tupu........😉😉😉😉
Tupo Bundi mkuu, usituangushe kwenye kufunga geti Leo.[emoji102] [emoji102] [emoji102] bado mupo?!!
Hahaha wahenga wako huenda wakawa sahihi[emoji40]Hao majirani ni waarabu wa pemba,wanajuana kwa vilemba
Haswaaa leta manenoHahahah! Bila shaka ulikuwa kitandani..........ukiwa fofofo 😉😉
Mimi iko salama kabisa
Kuna bundi nilisikia alijeruhiwa na manati, alienda kulilia karibu na dirisha la binaadamu sijui atakua ndo yeye[emoji40]Bundi wewe ulipotelea wapi? au na wewe ulikuwa unatafuta watoto?
Tatizo sio ndoto bali ni sehemu uliyootea, tangu lini ndoto za Mirembe zikatimia?🙂🙂🙂Hahaha unanidanganya kwakweli, mbona nimeota wiki nzima ntakua head prefect wa Mirembe mpaka Leo sijawa[emoji6]
Nafurahi kukuona muda huu,mahali hapaHaswaaa leta maneno
Hivi tafsiri kwa kiswahili inakubali kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Lindo haliwezi kuwa jema bila uwepo wako...........
Rest In Peace.............. namaanisha lala kwa amani