JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilikumiss mno best,ndo maana nakwambia toroka uje hapa chako n' chako, utapona kabisa
Hahaha ujue nilivyofungua Uzi nikakuona nilipona kabisa, sema baada ya kuona kuna mtu unamwona kwenye glass nikarudi kule kule[emoji40]
Ila saivi angalau umenifariji kwa kuniota mchana (sijawahi kuona ndoto ya kweli mchana)[emoji125]
 
Utakuwa hulali mchana wewe,ndoto za mchana ni za kweli tupu........😉😉😉😉
 
Back
Top Bottom