Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Yaani ukifika umri wetu huu wa miaka 70+ baridi linakuwa linapiga hadi mifupa 🤗Kumbe babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ukifika umri wetu huu wa miaka 70+ baridi linakuwa linapiga hadi mifupa 🤗Kumbe babu
Polee sana babuYaani ukifika umri wetu huu wa miaka 70+ baridi linakuwa linapiga hadi mifupa 🤗
Huwa nawaza matajiri Wana lalaje??, hasa wale wenye umoja.Hakuna kazi ngumu kama Kulala ukiwa na hela nyingi ndani ya nyumba, yaani ukisikia sauti kidogo nje unaamka kukagua hela zako kuona kama zipo 🙌
Na hapo ni shilingi laki 1, sijui wale wanaokuwaga na milioni milioni kama hata Usingizi huwa wanapata(ga) 😜
11:27 PM
Basi mzee wangu 😂😂, usije Sema naiba Uhuru wako.Challenge na wazee? Kua na huruma na sisi mkuu