JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hakuna kazi ngumu kama Kulala ukiwa na hela nyingi ndani ya nyumba, yaani ukisikia sauti kidogo nje unaamka kukagua hela zako kuona kama zipo 🙌

Na hapo ni shilingi laki 1, sijui wale wanaokuwaga na milioni milioni kama hata Usingizi huwa wanapata(ga) 😜

11:27 PM
Huwa nawaza matajiri Wana lalaje??, hasa wale wenye umoja.
Maana- Kuna kusalitiana, kuibiwa na Hata kufanyiana umafia mwingine.

mfano Mimi huwa nawaza kila Jambo ninalo fanya, from the first to the last process.
Siku Niki zishika SI ndo nita wa hack watu ili niwe na over see kila wanacho fanya 😂😀
 
[emoji445][emoji445][emoji444] utani kama utani tulianza kimasihara sikudhani sikudhani yatafikia mahala akiwa hapatikani hapaliki sijalala kanifanya kitu gan mbon imekua imara..... tukikoswa stuli ni sunna kula kweny mkeka,, unijue vizuri nikinuna mie ndo nadeka[emoji23] usije dhani kiburi uniache nikaja kuchekwa[emoji2960][emoji2957][emoji444][emoji444]0100
 
[emoji445][emoji445] huyu wa sas hivi akiniacha nimekwisha maselaa, sa nawaza nipige simu moja kijijin kwa bibi amtengenezeee,, ananikorokochoa akili kaijaza maujingaa.. ananichanganyaa huyu mtoto wa mama mkwee[emoji23] asipo tangaza ndoa natangaza vita na yeye[emoji38] yani nitamvunja miguu akiuvunja moyo wangu[emoji2960][emoji1787][emoji445][emoji445] muziki ni afya 0119
 
Back
Top Bottom