Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You too katoto changu kazuri zuri 😚😚 kisses love 💓💕Poa.
Ulale salama daddy!!!
Bora mara kadhaaa wa hivi
Kila mtu na chagua lake.Bora mara kadhaaa wa hiviView attachment 3265220
Hebu twende piemuYou too katoto changu kazuri zuri 😚😚 kisses love 💓💕
Kabisa yaaniKila mtu na chagua lake.
Kabisa mpwaKabisa yaani
Bado kidogo nikuambie ulale nika kumbuka na mimi nipo machoKabisa mpwa
😂😂😂Bado kidogo nikuambie ulale nika kumbuka na mimi nipo macho
Duuh, kama huku!😂😂😂
Yaani hapa sina usingizi, radi zapiga nje mpaka naogopa
Asa babe kalala, mie niko macho naogopa.Duuh, kama huku!
Kweli Tma walikua sahihi utabiri wao.
Ila radi sio za kuogopa bwana
Basi omba ipige radi moja matata sana ataamka mwenyweAsa babe kalala, mie niko macho naogopa.
Najaribu kumkumbatia anasema nifumbe macho 😓
He!!!Basi omba ipige radi moja matata sana ataamka mwenyweView attachment 3265231umenikumbusha nikiwa mdogo nilikua nalala uvunguni kukwepa mwanga wa radi
Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!He!!!
Makubwa!
Uvunguni tena 😂😂😂
Hatari basi!!!
Usiogope love ntakulinda ❤️😂😂😂
Yaani hapa sina usingizi, radi zapiga nje mpaka naogopa
😅 Nipo kipenzi acha woga wa kitotoAsa babe kalala, mie niko macho naogopa.
Najaribu kumkumbatia anasema nifumbe macho 😓
Usiogope love ntakulinda ❤️
Sawa.😅 Nipo kipenzi acha woga wa kitoto
Radi hazizoeleki mwaya.Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!
Ila radi zilinitesa sana utoto, sikujua kama ningekuja kuzizoea hivi🤣