JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mlale salama wanaume na wanawake wa humu wote.
Nawapenda.
View attachment 3265216
Bora mara kadhaaa wa hivi
094dbea0d50c1a50dec44ea20153db78.jpg
 
Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!
Ila radi zilinitesa sana utoto, sikujua kama ningekuja kuzizoea hivi🤣
Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
 
Back
Top Bottom