JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

Joined 2023 hata hujakomaa unaanza kuparamia ID Jf ni zaidi ya uijuavyo.
 
Niliwahi kumla dada wa member mmoja jukwaani kimasihala kwa mambo ya kutengeneza ID za kike humu.

Ni stori ndefu kama miaka 5 imepita, baada ya kuchat kwa takribani wiki kadhaa DM nikamwambia nataka nimtumie pesa kidogo ya saloon. Naona akaona anipe namba ya dada yake ili jina lisome la kike.

Nafikiri baadaye alijutia.
 
😂😂
 
Eti wewe ni cha wote😭😭😭
Nimelia sana.
Nani kasema maneno hayo.. aweke ushahidi kama kawahi kunionja hapa...
Atoto mie mtulivu mnooo, UVULANA wangu bado haujachezewa.. mali mbichi kabisa hii, ndizi imeivia kwenye mgomba wake, nichume uanze kunifaidi.
 
Mbona taharuki, tulia 😂🤣 Atoto kasema wewe mali yake ila nikifika dau ananiachia kwa muda 😅 ndiyo tunayajenga hapa!
Shida ipo kwenye kuniita cha wote, eti watu kibao wameshaonja NDIZI yangu, yaani unajitengezea mazingira unipate kwa bei ya jioooooni.. aah, dada biashara haiendi hivyo.. ongea biashara bila kushusha thamani yangu.. toa pesa nzuri unifaidi bibie
Atoto mwenzio anajitengenezea mazingira anipate kwa bei rahisi.
Kuwa makini, utauza dhahabu kwa bei ya chuma chakavu
 
Huu uzi umekaaa kimkakati zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…