JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

Michezo ya twitter imehamia adi huku 😀😀😀😀😀
 
Hapa bei yoyote utakayosema, naishusha mpaka nusu yake.
Naona mali yako imejichanganya ikakiri ujanani imetumika mpaka inakaribia kuchoka.
Kwani ujanani nimetoka lini bado kijana, na sijapoteza UVULANA wangu mimi ni MVULANA mwenye UVULANA wangu, GOBOLE langu ni linasafishwa kisha linahifadhiwa vizuri, halijatumika Kumwagilizia mtu risasi bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…