Subiri kidogo mwakani tu ntakushtua😂 bora angekuwa mwamba ila mchungaji kutongoza wanafunzi🙆🏽♀️Kama umefika 35 unaweza kuwa kazi ya maana kwangu,😅 achana na usabato...hilo ni dhehebu tu, au kuna mwamba alikutenda😅
Mwanaume ni kiumbe kinachopenda kujiingiza kwenye hatari nyingi, hilo ni mojawapo mkuu!Hivi inakuaje mtu unapanga mtongozo kwa mtu ambae hata hujui anafananaje? Mambo mengine mnajitakia wenyewe mtakuja mtongoze hadi wazazi wenu.
Na mabinti zao..Hivi inakuaje mtu unapanga mtongozo kwa mtu ambae hata hujui anafananaje? Mambo mengine mnajitakia wenyewe mtakuja mtongoze hadi wazazi wenu.
Hapanakuna UKIMWI pia unafikiri mimi Fala sio?
Najaribu ku zuu profile picture 🖼️ hapooHuyo ana mwandiko kama wangu😂😂😂
Kumbee.. kwaio shoo we umeshakutana na mtu ata mmoja humu?Yaani ni jukwaa kwa ajili ya mahusuano km ilivyo suasa, elim etc
Sio connection za mambo mengine
Acha wale vitu vizuri, hakuna kazi ngumu kama kuishinda tamaa ya ngonoSubiri kidogo mwakani tu ntakushtua😂 bora angekuwa mwamba ila mchungaji kutongoza wanafunzi🙆🏽♀️
Kwani mkitongozana si mnakutana ? Ndio hapo mtafahamiana?Hivi inakuaje mtu unapanga mtongozo kwa mtu ambae hata hujui anafananaje? Mambo mengine mnajitakia wenyewe mtakuja mtongoze hadi wazazi wenu.
Ndio yeye huyu🤣Najaribu ku zuu profile picture 🖼️ hapoo
Kumradhii kidogo
NB. Dr hayaland 🤣 Huwa anaupigaga mwingi
Kwanini unasuport hili lakini? Si mna wake zenu🫢Acha wale vitu vizuri, hakuna kazi ngumu kama kuishinda tamaa ya ngono
Dr mapaka ana I'd 350 ,sidhani kama atakosa ya kike🤔Najaribu ku zuu profile picture 🖼️ hapoo
Kumradhii kidogo
NB. Dr hayaland 🤣 Huwa anaupigaga mwingi
Kaka wewe una mke , tulia naweza jishindia mlevi mwenzangu humu humu bwasheeKaka,
Sisi tunywe pombeee 😊 Huku tukichati inatosha
Mke hatoshi, imethibitishwa hivyo.Kwanini unasuport hili lakini? Si mna wake zenu🫢
Nani kathibitisha?Mke hatoshi, imethibitishwa hivyo.
Unaniaibisha sasa kama wewe bado!Kumbee.. kwaio shoo we umeshakutana na mtu ata mmoja humu?
AsiliNani kathibitisha?
Kwahiyo ni sifa mzee😅Unaniaibisha sasa kama wewe bado!
Si kweli, unapotea mzee wanguAsili