JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

Teh.
 
Kutongoza ni aina ya ku update ubongo na akili vikae sawasawa ili visibung'ae.

Tulifundishwa kuwa, kutongoza kuna manufaa hasa unapotongoza zile sehemu ngumu ngumu zilizoshinda wajanja, mfano wale watu wenye nasaba bora, waheshimiwa nk nk.

Sasa kwa suala hili la anonimous ni kuangalia upepo wa mtu husika unayewasiliana naye anakujaje, kama kajiweka kikekike hata kama ni dume zima na ndevu zake kwa nini asitongozwe, kuna madhara gani?

Nafsi na saikolojia unakuwa umeilenga kwa mwanamke na siyo kwa shoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…