Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Watu na bahati zao! Leo leo fursa hiyo mlangoni.Uko single?
π π πNyinyi ndio wale msiojulikana , Sasa Maxence Melo kawanasa π€£π€£π€£π€£
Ahaaa kabla hamjawaharibu.nijisevie zangu mieWatu na bahati zao! Leo leo fursa hiyo mlangoni.
Amewaweza kweli. Wapiga chabo wote wa JF kuanzia leo ni marufuku kupiga chabo humu πNyinyi ndio wale msiojulikana , Sasa Maxence Melo kawanasa π€£π€£π€£π€£
No! Jf wasifanye hivyo.Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Ukute yupo muda mnatongozana tuNgoja niendelee kubrowse soon namwona my wife.
Ni guest mzuri sana hapa JF for years!! π€£π€£π€£
Tayari wameshafanya. Wamewakomesha wapiga chabo maarufu wa JF. "Imagine" mtu ana zaidi ya miaka 5 anapiga chabo tu.No! Jf wasifanye hivyo.
Hajawahi kujiunga, huwa namwona anasoma sana news humu na mastory! siku akijiunga lazima anisumulieUkute yupo muda mnatongozana tu
Yeah! najua hili vizuri sanaTayari wameshafanya. Wamewakomesha wapiga chabo maarufu wa JF. "Imagine" mtu ana zaidi ya miaka 5 anapiga chabo tu.
ππ Karibu sana mdauHata Mimi hili limenikumba wadauπ
Tuko wengi mi kuna uzi nauandaa kulizungumzia jambo kama hili
Huu mpango ni wakudumu?Hongera na Karibu sana JF.
Sasa we jamaa na wewe bhana wakati ukiview unakuwa na uwanja mpana katika kutumiaBhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Na hapo ndipo watakapokuwa wamenifukuzaaaaa πππππππKidogo kidogo tutaanza kuingia kwa kiingilio