JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Kumbe ndiyo maana leo guest bubu nyingi zimejaa humu jukwaani!! Kumbe kuna wageni mliokaribishwa kwa lazima!! Karibuni sana jameni!
Kama kuna mgeni walau mmoja tu wa kike, naomba niwe mwenyeji wake.
 
Mie account ilijiblock toka 2014 nikawa na zoom tu kishikaji jana nikaona hiyo msg, hamna budi imebidi nifungue nyingine kwani jf ndio mtandao wangu pendwa.
Karibu tena.

Tunaweza kuirejesha hiyo ya 2014; wasiliana nasi ila kuna maswali machache utatakiwa kujibu ili tujiridhishe ni akaunti yako
 
We unataka upate nyuzi bure bure tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ingekuwa bure hata nisingeweka bando mkuu, naona siku hizi wameondoa huduma ya freebasics kule facebook maana ndo nilikuwa naingia bure jeiefuu hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…