Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

am not generalize just my experience . Wanawake ni wabinafsi na very complicated unashindwa kujua nini hasa anataka.

#Nina mchumba wa muda mrefu tumesoma wote chuo kimoja mara nyingi aliniambia ndoto yake ni kua na “healthy and happy family” mimi ni mpambanaji tangu tupo chuo baada ya kuhitimu wakati hana ajira yupo home tu nimemuhudumia sana.

Sasa amepata ajira yuko mkoa mwingine. Mwaka huu tulikubaliana tunaanza mchakato wa ndoa. kimbembe anapiga chenga kila nikigusia hili 😂 kwa visingizio tusubiri kidogo atafute uhamisho.

Namuambia acha kazi kaa hapa nitakuhudumia amekataa hawezi kua mama wa nyumbani tu . Ok acha kazi nina kiasi hapa naweza nikakufungulia biashara hataki kisingizio ilikua ndoto yake kufanya hiyo kazi. Yani kama sio yeye alikua anasema my deream ni kua na “ health and happy family “ 😂
 
Anything as long as tuna sauti kwasasa japo bado kijamii mabadiliko ni magumu kidogo, Kisheria walau kuna mwanga.

Dharau kwasababu you people think it is personal, it is not.. was never personal! It’s about women rights not some love-hate relationship!

Maugomvi yenu hukooo! hapa ni movement tu.
 
It’s okay kujisahihisha, it’s okay to think and re think again. Mabadiliko ni kitu kitarajiwa kwa binadamu na ubinafsi sio jambo baya kama unavyotaka lionekane hapa.

Asiache kazi, let her be strict about her life, we have seen what happened to women who are not strict enough.
 
Hupendo wake hupo wapi
Kimbiha halaka.
 
Kabisa, vivulana vinazingua.

Mwanaume anajua kwanza inabidi afanye kazi, ajiimarishe kiuchumi, malalamiko hayatamsaidia.
Na mwanaume wa kweli anajua kumhudumia na kumjali mkewe, ukishamudu hayo mapenzi utayaona matamu sana.
Naunga mkono hoja mimi hata mama abel akitaka wigi la milioni moja na nunua
 

Movement yenu itafanikiwa kama ikijikita kwenye kutatua matatizo halisi wanayopitia wanawake kwasababu tu ni wanawake. Pia mkiacha kumchukulia mwanaume kama adui just because ni mwanaume. Kusema kwamba wanaume wanajisikia kupoteza "power" kuona mwanamke ana platform ya kuelezea hisia zake ni kuwazushia wanaume walio wengi jambo ambalo si kweli.

Mbaya zaidi mnatubagaza wanaume tulio wengi ambao siyo tu tunaamini kwenye usawa kwa yale ambayo wanaume kwa wanawake tunaweza kuwa sawa bali pia tumechangia nyinyi kupata platform ya kuelezea hisia zenu. Believe me, most men hawana shida mwanamke kupata haki zake. Ila wana shida na wanawake kuwageuza chanzo cha matatizo yote ya mwanamke na kujifanya wao hawawakosei wanaume.
 
Sababu ingine ambayo inafanya wanaume wengi siku hizi tuone kuhudumia mdada ambae sio mkeo ni utapeli, ukiachana na umaskini wetu ni kwamba:

Kuna cases nyingi wadada wana confess especially mtandaoni, kuwa anahudumiwa vizuri tu na mwanaume, ila hampendi huyo mwanaume/akimuona huyo mwanaume chini hapaloi..yupo kwenye hayo mahusiano kwasababu tu ya hela.

Unakuta huyo mdada anahudumiwa na mwanaume Y, ila anam-treat vizuri na kumpa vinono mwanaume Z ambae hajawahi toa hata mia yake kwa huyo mdada, kisa tu uyo mdada ana hisia na huyo mwanaume Z, sasa huo si uboya na waste of resources Seran binti kiziwi Binti wa zamani Aaliyyah shibela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…