Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #361
Mwanaume anatafuta kichaka cha kukwepa majukumu, anakwambia kuzaa siyo kazi ya kimaendeleo na domestic labour zote ya nyumbani ni majukumu ya asili, ila yeye hatofanya inabidi ufanye wewe.Yaan🙌 mda wote ana act like victim
Malalamiko hayaiishi huyu ukiishi nae unaweza kujifia taratibu huku unajiona
Kwa mtindo huu ndio maana nasema sitaki ndoa mimi🙌Mwanaume anatafuta kichaka cha kukwepa majukumu, anakwambia kuzaa siyo kazi ya kimaendeleo na domestic labour zote ya nyumbani ni majukumu ya asili, ila yeye hatofanya inabidi ufanye wewe.
Na hata ukifanya haitoshi, inabidi pia utafute namna ya kuchangia kiuchumi na kulipa bills pasu kwa pasu 🚮 🚮 🚮
Muwakwepe wanaume wa aina hii kabisa, msije mkajichanganya!
Ndoa ukimpata mtu sahihi siyo mbaya, shida ni hawa wavulana wanaotaka kunufaika bila kuwa responsible.Kwa mtindo huu ndio maana nasema sitaki ndoa mimi🙌
Wameshajiaminisha hivyo, wanaona kama haki yao bila kukubali wajibu unaokuja na maswala ya uzazi.Yaan kuzaa sio kazi wala haileti mabadiliko? na wakati unaanza kuitwa baba na kupita unatangaza kila sehemu
Unashindwa ku appreciate kwa jambo hilo 🙌
i can smell it, someone is both misogynistic and islamophobic.Hakuna tofauti ya mwanamke na muislamu...wote wanaongozwa na upumbavu vichwani....
The worst combo 😒i can smell it, someone is both misogynistic and islamophobic.
Mungu aendelee kuniepusha na hilo shetani la mguu mmoja! We deserve what’s best for us! We deserve princess treatment no mara waaa ✌🏽🥰💃🏽Seran , Hata najua basi muwe makini sana na wanaume wenye victim mentality. Ambaye hata kwenye situation inayomnufaisha, bado anaona anaonewa, ndiyo hao wanaoandika hizo nyuzi.
Ogopa sana mtu wa hivyo.
Kweli "no mara waaaa" au mnajipa moyo tu 😂😂😂Mungu aendelee kuniepuaha na hilo shetani la mguu mmoja! We deserve what’s best for us! We deserve princess treatment no mara waaa ✌🏽🥰💃🏽
Mama, bills??? Hahhaa never!! Bora ungesema kitu kingine!Kweli "no mara waaaa" au mnajipa moyo tu 😂😂😂
Tokea nimeingia Jf sijawahi kitukana mtu kwa mala ya kwanza nimevunja recod yangu nzuri😁😁Mama, bills??? Hahhaa never!! Bora ungesema kitu kingine!
Ndiyo na kodi ya nyumba 😂Mama, bills??? Hahhaa never!! Bora ungesema kitu kingine!
Huyo ndiyo yuko hivyo sijui mwanamke gani alimuachia trauma, kila akiandika nyuzi humu ni either kukandia wanawake au kukandia wanaume wenzake kwa kuwaita ma simp sababu wanawathamini wanawake zao.Tokea nimeingia Jf sijawahi kitukana mtu kwa mala ya kwanza nimevunja recod yangu nzuri😁😁
Kumbe basi hata mimi nitampuuza 😁Huyo ndiyo yuko hivyo sijui mwanamke gani alimuachia trauma, kila akiandika nyuzi humu ni either kukandia wanawake au kukandia wanaume wenzake kwa kuwaita ma simp sababu wanawathamini wanawake zao.
Mimi huwa namu-ignore tu, hata leo amenijibu ila nimempita kama sijamuona.
Hahhaa calm down la mama🫳🏽Tokea nimeingia Jf sijawahi kitukana mtu kwa mala ya kwanza nimevunja recod yangu nzuri😁😁
Kujilipia mwenyewe tu huwa napata heart attack, ije kuwa kulipia tukiwa na kenge nyingine😂Ndiyo na kodi ya nyumba 😂
Umempita kama mshumaa wa pasaka🤣Mimi huwa namu-ignore tu, hata leo amenijibu ila nimempita kama sijamuona.
Sihangaiki naye, nishamtupa kwenye kundi lake huko where he belongs.Umempita kama mshumaa wa pasaka🤣
Ndiyo mambo ya kisasa hayo, eti wanasema mnataka 50/50 so muoane tu, siyo kuoa au kuolewaKujilipia mwenyewe tu huwa napata heart attack, ije kuwa kulipia tukiwa na kenge nyingine😂
Aww ☺️Sihangaiki naye, nishamtupa kwenye kundi lake huko where he belongs.
Wakome!! Hata hivyo sio lazima! Eti wanaume nao wana jivika high-valued nimeona binti anasulubishwa wanaume anaowataka sio level zake 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️Ndiyo mambo ya kisasa hayo, eti wanasema mnataka 50/50 so muoane tu, siyo kuoa au kuolewa
Na uka like kuunga mkono mimi kusurubishwa😁 kisa tu nimesema sitaki ndoa jamaa ame panic anaimba mapambio😁Aww ☺️
Wakome!! Hata hivyo sio lazima! Eti wanaume nao wana jivika high-valued nimeona binti anasulubishwa wnaaume anaowataka sio level zake 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Mi huwa nalike hata machawa, unampa kichwa aendelee kuachia ushuzi wote!Na uka like kuunga mkono mimi kusurubishwa😁 kisa tu nimesema sitaki ndoa jamaa ame panic anaimba mapambio😁
🥂Mi huwa nalike hata machawa, unampa kichwa aendelee kuachia ushuzi wote!