Kwa upande wangu sioni kama ni tatizo endapo inamuingizia kipato kinachomtosha na anafahamu malengo yake.Ndo maana yangu.
Pia Kwani Graduate hawezi choma mahindi? kuna usipecial gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache Aanze mkuu anaweza kuyafanya kwenye mahindi huko huko mfano kuanzisha platform ya kuuzia mahindi online.kwa mtu wa IT kuchoma mahindi ni kuonesha kuwa alichosoma hakikumsaidia hata hiyo kazi akiiipata hawezi fanya. IT means being creative kuna mambo mengi sana yanahitaji ufumbuzi wa IT.....
Yes anapata pesa yake haibi, haombi pesa kwa Baba yake wala mama yake wala Dada anajitegema kwa 100%Kwa upande wangu sioni kama ni tatizo endapo inamuingizia kipato kinachomtosha na anafahamu malengo yake.
Kuliko kukaa tu bora kuchoma mahindi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Bro tatzo n kwamba hizo database atazitumia yeye.? Je Tanzania tumefikia huko kwenye uwekezaji waTEHAMA jibu ni hapana. Bahati uliyoipata wewe siyo atakayoipata mwingine. Mm pia nko katika hyo taaluma ya IT. Lakini nafurahi sana mtu akipata plan B ikiwa n mbadala wa fani ya IT. Lets talk reality, usiongelee mafanikio ya wachache waliyoyapata kutokana na TEHAMA.Mwananchi, humu hatujuani.......
Huyo hakuweza tumia alichojifunza vizuri, hata kwenye Database pekee kama sehemu ya kozi ya IT angeweza ishi kwa kutengeneza database kwa ajili ya sme's.... mtu wa IT akishindwa fanya kitu kidogo kama hicho basi huyo shuleni alienda kula na kulala tu.
Biashara ya mahindi choma ina msimu wake na siku serikali ikikasirika inapiga pini uchomaji wa mahindi mabichi kutokana na hali ya afya ya eneo husika
Kubali kuwa unashabikia itu ambacho kihalisia si sahihi hata kidogo,
even kuweka likes kwenye fb kama huna chapaa utabaki kusikia free facebook.. life is all about business cc 24hrsNipongezeni na mimi graduate lakini kondakta wa daladala.... Maisha yanatufanya tuweke usharo pembeni tupambane.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Lol, indeed.even kuweka likes kwenye fb kama huna chapaa utabaki kusikia free facebook.. life is all about business cc 24hrs
Kutengeneza Simu inabidi awe na vifaa na office.akiwa na mtaji atajiongezaIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Unajua.lengo langu? Fuatilia.post zangu za nyuma utaelwa maana yangu.
Jaribu kupitia post zangu utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
....hata kuingiza nyimbo kwenye simu !?IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
We ndo umepotea unazani nimeongea naye nini? na unajua malengo yake?Najua mengi unayofanya humu na huwa napitia nyuzi zako, ila kwa hili la leo ndugu umepotea kubali kuwa umepotea
We jamaa acha fikra mfu.
huyo si wa kupongezwa ni wa kuonewa huruma maana kapoteza hela nyingi sana
La saba hatakiwi kufikiria kama graduate na kinyume chake !Anachoma mahindi ana kijiwe chake safi tu na jiko lake zuri tu.
Shida zetu hizi elimu za vyuoni tunajiona ni next levo
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo umepotea unazani nimeongea naye nini? na unajua malengo yake?
Mbonanabisha ujinga?
Nimesema anakusanya mtaji sawa? atafungua ofisi ya IT ila mahindi hataacha pia kuchoma ana malengo na Idea nzuri kwenye biashara ya mahibdi siwezi elezea humu.
So nashangaa umekomaa kwamba kanidanganya ili iweje?
Anakusanya pesa. Kwao hawana uwezo wa kumpa.mtaji sawa?
Kama kwenu mambo yako sawa sio wote mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo huku hakuna anaye waza. Tuna shida sana mkuu.Muache Aanze mkuu anaweza kuyafanya kwenye mahindi huko huko mfano kuanzisha platform ya kuuzia mahindi online.
Au hata ulaya mahindi ya kuchoma. Huwezi kumwambia mtu awe creative wakati hata pesa ya kule hana
Kijana ana hasira na kila anayemchallenge.Tatizo umepanic, umejaza hasira sio kila unachoandika humu lazima uungwe mkono, kubali kuwa wapo wenye mawazo tofauti.... Wewe umekuja hapa hujaema haya uliyosema sasa
tunasomea vitu tusivyo na malengo navyoo POOR TANZANIA.......Umeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.
By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?
Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?
Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?
Unajua kwa siku anaingiza how much?
UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo biashara unayo jua kisa kila mtu anafanya?....hata kuingiza nyimbo kwenye simu !?
Wewe uko kwa shemeji yako.
Umesoma post yangu au umeanza na Coment?
Acha kutafuta sifa za kijinga humu.
Nisha sema anakusanya pesa hana uwezo na kupitia mahindi anakusanya pesa alie kuambia kapotea ni nani?
Wewe ndo unamjua?
Malengo yake unayajua?
Sent using Jamii Forums mobile app