Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

mkuu chasha alitoa bandiko kuhusu uoga na aibu ndo chanzo cha umaskini na ufukara hasa kwa wale ambao wameshayakatia tamaa maisha sasa mwenyenzi mungu ananjia zake za kutuonesha mifano halisi sikukatishi tamaa utayaona mengi zaidi ya huyo ila mjini bodabod nao wengi graduate sema wanajificha na starehe zinawadumaza...
 
kwa mtu wa IT kuchoma mahindi ni kuonesha kuwa alichosoma hakikumsaidia hata hiyo kazi akiiipata hawezi fanya. IT means being creative kuna mambo mengi sana yanahitaji ufumbuzi wa IT.....
Muache Aanze mkuu anaweza kuyafanya kwenye mahindi huko huko mfano kuanzisha platform ya kuuzia mahindi online.
Au hata ulaya mahindi ya kuchoma. Huwezi kumwambia mtu awe creative wakati hata pesa ya kule hana
 
Mwananchi, humu hatujuani.......
Huyo hakuweza tumia alichojifunza vizuri, hata kwenye Database pekee kama sehemu ya kozi ya IT angeweza ishi kwa kutengeneza database kwa ajili ya sme's.... mtu wa IT akishindwa fanya kitu kidogo kama hicho basi huyo shuleni alienda kula na kulala tu.

Biashara ya mahindi choma ina msimu wake na siku serikali ikikasirika inapiga pini uchomaji wa mahindi mabichi kutokana na hali ya afya ya eneo husika

Kubali kuwa unashabikia itu ambacho kihalisia si sahihi hata kidogo,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Bro tatzo n kwamba hizo database atazitumia yeye.? Je Tanzania tumefikia huko kwenye uwekezaji waTEHAMA jibu ni hapana. Bahati uliyoipata wewe siyo atakayoipata mwingine. Mm pia nko katika hyo taaluma ya IT. Lakini nafurahi sana mtu akipata plan B ikiwa n mbadala wa fani ya IT. Lets talk reality, usiongelee mafanikio ya wachache waliyoyapata kutokana na TEHAMA.

Kwa siku akiuza mahindi 50, cjajua tu kwa A Town yanauzwa kwa bei gani. Lakini hapa nilipo @500,
mahindii mabichi @200
Faida @200 ukitoa tsh 100 ya mkaa
Kwasiku atakuwa na takeaway 10000 kuna tofauti gani na yule aliyemjini kamkabidhi kijana bodaboda , akiletewa mrejesho wa 10k kwa siku.

Tatzo linalotuua vijana ni tukipata elimu hatutaki kujishusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipongezeni na mimi graduate lakini kondakta wa daladala.... Maisha yanatufanya tuweke usharo pembeni tupambane.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
even kuweka likes kwenye fb kama huna chapaa utabaki kusikia free facebook.. life is all about business cc 24hrs
 
even kuweka likes kwenye fb kama huna chapaa utabaki kusikia free facebook.. life is all about business cc 24hrs
Lol, indeed.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Unajua.lengo langu? Fuatilia.post zangu za nyuma utaelwa maana yangu.

Jaribu kupitia post zangu utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushaishiwa hoja, yaani ili ueleweke mtu akufuatilie post zako zote za nyuma, hivyo na kila mtu ili afahamike watu wamfuatilie mambo yake yote ya nyuma toka utotoni, hivi maisha yangeenda kweli, vipi watu wangeajiri, vipi watu wangeoa, vipi watu wangeingia mikataba mbalimbali ya kibiashara na ushirikiano.
 
Najua mengi unayofanya humu na huwa napitia nyuzi zako, ila kwa hili la leo ndugu umepotea kubali kuwa umepotea
We ndo umepotea unazani nimeongea naye nini? na unajua malengo yake?

Mbonanabisha ujinga?

Nimesema anakusanya mtaji sawa? atafungua ofisi ya IT ila mahindi hataacha pia kuchoma ana malengo na Idea nzuri kwenye biashara ya mahibdi siwezi elezea humu.

So nashangaa umekomaa kwamba kanidanganya ili iweje?

Anakusanya pesa. Kwao hawana uwezo wa kumpa.mtaji sawa?

Kama kwenu mambo yako sawa sio wote mkuu.

Tatizo umepanic, umejaza hasira sio kila unachoandika humu lazima uungwe mkono, kubali kuwa wapo wenye mawazo tofauti.... Wewe umekuja hapa hujaema haya uliyosema sasa
 
Muache Aanze mkuu anaweza kuyafanya kwenye mahindi huko huko mfano kuanzisha platform ya kuuzia mahindi online.
Au hata ulaya mahindi ya kuchoma. Huwezi kumwambia mtu awe creative wakati hata pesa ya kule hana
Mkuu hayo huku hakuna anaye waza. Tuna shida sana mkuu.

Jamaa ukimsikiliza malengi yake utaogopa mno sasa humu watu wamekomaa kubisha tu.

Jamaa ana malengo makubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo umepanic, umejaza hasira sio kila unachoandika humu lazima uungwe mkono, kubali kuwa wapo wenye mawazo tofauti.... Wewe umekuja hapa hujaema haya uliyosema sasa
Kijana ana hasira na kila anayemchallenge.

May Allah bless Me and You
 
Umeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.

By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?

Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?

Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?

Unajua kwa siku anaingiza how much?

UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
tunasomea vitu tusivyo na malengo navyoo POOR TANZANIA.......
 
Wewe uko kwa shemeji yako.

Umesoma post yangu au umeanza na Coment?

Acha kutafuta sifa za kijinga humu.

Nisha sema anakusanya pesa hana uwezo na kupitia mahindi anakusanya pesa alie kuambia kapotea ni nani?

Wewe ndo unamjua?

Malengo yake unayajua?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio maana nikakwambia kuwa humu ndani hatujuani,
Sitafuti sifa kwa mtu yoyote maana hakuna anaenijua humu ndani
Mbona unatumia hasira kisa nimepingana na mawazo yako....
We jamaa inaonesha ndiye ulimpoteza kwa kumwambia aende kuuza mahindi ya kuchoma
We jamaa mshauri mwenzako vizuri na sio kuja kutangaza shida zake humu ndani
Si kila uonacho lazima uje uandike humu ndani
nashauri bora uendelee na kuelimisha watu kuhumu vifaranga na kilimo kuliko kuwadanganya watu wakachome mahindi afu unakuja waanika humu
 
Back
Top Bottom