ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini.
Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti ikisogea yaani au camera zikionekana basi siku ilikuwa ngumu sijui watu wanaweza sitorudia tena kwakweli bora kumuomba mungu tu ukiwa na shida jana nimeishi kwa shida sana