Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

Nimecheka sana leta mlejesho mwisho wake ikawa je
 
JF ina watumishi wengi wa Mungu. Nabarikiwa sana kusoma comments za wadau.
Tuzidi kumtegemea Mungu tu hata kama tunapitia hali ngumu.
 
😂😂😂😂😂Mambo yako mazuri yepi uliyotaka kuyaweka sawa? Nakumbuka siku moja ofisini pale mtaa wa Samora. Mmoja wa office mate pia rafiki kanifuata. Naomba tuongee nje ya ofisi. Tukatoka nje basi akaanza , “Fulani (another office mate) ananiroga.” Nilichukia sana bila hata kusema chochote niliondoka pale na kurudi ofisini. Sijui jamaa aliwaza nini nilipoondoka. Hakuniuliza kwanini niliondoka wala kuniambia tena ule ujinga wake.

Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini ila haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti ikisogea yaani au camera zikionekana basi siku ilikuwa ngumu sijui watu wanaweza sitorudia tena kwakweli bora kumuomba mungu tu ukiwa na shida jana nimeishi kwa shida sana
 
Tulia wewe nyie kwenye bustani ya Edeni mlikosa matunda hadi mdanganywe na nyoka! Mtuache kabisa haya matatizo yote mmesababisha nyie kwa uroho wenu wa matunda.
Dah Mkuu ila tulipewa nafasi nyingine ya ukombozi kupitia damu ya yesu pale msalabani na tumeambiwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake. Why atumie hirizi za binadamu mwenzake?
 
Halafu unakuta wewe ni msomi mwenye masters ila huyo mganga aliyekusotesha hivyo jana nzima ni Darasa la saba a.k.a LY.

Shetani ni muongo na mdharirishaji wa kutupwa.sasa vipi kama kuna anayekuheshimu angekuona unavyohangaika na huo upuuzi leo ungejisikiaje.Sababu shetani siku zote anakuacha kwenye fedheha mwenyewe.

Sasa jaribu kuifungua hiyo hirizi uone vilivyomo ndani,unaweza kuta ni vitambaa vitupu au ni vikaa flani tu.

Nakushauri nenda kesho kanisa lolote kajisalimishe sababu tayari umeshafanya magano,hutaweza kubaki salama
Wewe mbona manabii wanaokuhubiria na una waamini ni darasa la saba b..tofauti yake na wewe ni ipi sasan...dini ni ulaibu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Mkuu ila tulipewa nafasi nyingine ya ukombozi kupitia damu ya yesu pale msalabani na tumeambiwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake. Why atumie hirizi za binadamu mwenzake?
Kwahiyo hata ule mpango wetu ulikataa makusudi kwa sababu nilikuwa nakutegemea katika nyakati zile za ubaridi? Nimejua leo aisee.

Kumbe ulinilaani kwa kukutegemea.
 
Umemkosea sana Mungu fanya toba mrudie Mungu wako kwa usaliti uliomfanyia kuamini nguv za shetani...
Daima milele mtegemee Mungu maana hawai wala hachelewi ktk kutimiza haja za mioyo yetu
Mungu yupi kama kwenye hiyo hirizi ndio kuna Mungu wake.
 
Niliambiwa nikapasue nazi njia panda mchana ahahaha dah ilinishinda.
𝐇𝐮𝐤𝐮𝐚𝐦𝐛𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐠𝐚 𝐧𝐣𝐢𝐚 𝐩𝐚𝐧𝐝𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐮?
 
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini ila haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti ikisogea yaani au camera zikionekana basi siku ilikuwa ngumu sijui watu wanaweza sitorudia tena kwakweli bora kumuomba mungu tu ukiwa na shida jana nimeishi kwa shida sana
Ha ha ha Mkuu umeamua kumtumikia mwanadamu mwenzako?

Yaani umefikia hatua kutoamini maandiko yote? Pole sana...

" Na amelaanika yeyote amtumainiaye mwanadamu..........."
 
Get rich or die trying...

Kama mtu hajaumia/athirika na hiyo mbinu yako, fresh tu piga kazi.

Hata wazee wetu pia waliwinda kwa dawa na walikuwa wanafanikiwa, kikubwa isilete effect kwa mwadamu mwenzako...

Nb: Hizi dini tuliletewa (agents of colonialism)
 
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini ila haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti ikisogea yaani au camera zikionekana basi siku ilikuwa ngumu sijui watu wanaweza sitorudia tena kwakweli bora kumuomba mungu tu ukiwa na shida jana nimeishi kwa shida sana
Yaani ulikuwa na shida na bado ukachagua shida zaidi ili uje kupata nini?? raha?
 
Kwa sababu ya kuweka sawa mambo yako ukamuacha Mungu ukaenda tegemea hirizi.

Anyway. Hongera kwa kumpa nafasi shetani maana kupanga ni kuchagua Mkuu.
 
Back
Top Bottom