Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

Niliambiwa nikapasue nazi njia panda mchana ahahaha dah ilinishinda.
😂😂Nakumbuka zamani,pale mzunguko wa kigogo,kuna jamaa alizungunguka mara 7 akiwa kwenye gari mchana huku akipasua nazi,huku watu wakicheka na kushangilia...
 
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini ila haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti ikisogea yaani au camera zikionekana basi siku ilikuwa ngumu sijui watu wanaweza sitorudia tena kwakweli bora kumuomba mungu tu ukiwa na shida jana nimeishi kwa
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini ila haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti ikisogea yaani au camera zikionekana basi siku ilikuwa ngumu sijui watu wanaweza sitorudia tena kwakweli bora kumuomba mungu tu ukiwa na shida jana nimeishi kwa shida sana



Na uache kweli
 
Back
Top Bottom