Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

Nimecheka sana leta mlejesho mwisho wake ikawa je
 
JF ina watumishi wengi wa Mungu. Nabarikiwa sana kusoma comments za wadau.
Tuzidi kumtegemea Mungu tu hata kama tunapitia hali ngumu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mambo yako mazuri yepi uliyotaka kuyaweka sawa? Nakumbuka siku moja ofisini pale mtaa wa Samora. Mmoja wa office mate pia rafiki kanifuata. Naomba tuongee nje ya ofisi. Tukatoka nje basi akaanza , โ€œFulani (another office mate) ananiroga.โ€ Nilichukia sana bila hata kusema chochote niliondoka pale na kurudi ofisini. Sijui jamaa aliwaza nini nilipoondoka. Hakuniuliza kwanini niliondoka wala kuniambia tena ule ujinga wake.

 
Tulia wewe nyie kwenye bustani ya Edeni mlikosa matunda hadi mdanganywe na nyoka! Mtuache kabisa haya matatizo yote mmesababisha nyie kwa uroho wenu wa matunda.
Dah Mkuu ila tulipewa nafasi nyingine ya ukombozi kupitia damu ya yesu pale msalabani na tumeambiwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake. Why atumie hirizi za binadamu mwenzake?
 
Wewe mbona manabii wanaokuhubiria na una waamini ni darasa la saba b..tofauti yake na wewe ni ipi sasan...dini ni ulaibu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Mkuu ila tulipewa nafasi nyingine ya ukombozi kupitia damu ya yesu pale msalabani na tumeambiwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake. Why atumie hirizi za binadamu mwenzake?
Kwahiyo hata ule mpango wetu ulikataa makusudi kwa sababu nilikuwa nakutegemea katika nyakati zile za ubaridi? Nimejua leo aisee.

Kumbe ulinilaani kwa kukutegemea.
 
Umemkosea sana Mungu fanya toba mrudie Mungu wako kwa usaliti uliomfanyia kuamini nguv za shetani...
Daima milele mtegemee Mungu maana hawai wala hachelewi ktk kutimiza haja za mioyo yetu
Mungu yupi kama kwenye hiyo hirizi ndio kuna Mungu wake.
 
Niliambiwa nikapasue nazi njia panda mchana ahahaha dah ilinishinda.
๐‡๐ฎ๐ค๐ฎ๐š๐ฆ๐›๐ข๐ฐ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ ๐š ๐ง๐ฃ๐ข๐š ๐ฉ๐š๐ง๐๐š ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ?
 
Ha ha ha Mkuu umeamua kumtumikia mwanadamu mwenzako?

Yaani umefikia hatua kutoamini maandiko yote? Pole sana...

" Na amelaanika yeyote amtumainiaye mwanadamu..........."
 
Get rich or die trying...

Kama mtu hajaumia/athirika na hiyo mbinu yako, fresh tu piga kazi.

Hata wazee wetu pia waliwinda kwa dawa na walikuwa wanafanikiwa, kikubwa isilete effect kwa mwadamu mwenzako...

Nb: Hizi dini tuliletewa (agents of colonialism)
 
Yaani ulikuwa na shida na bado ukachagua shida zaidi ili uje kupata nini?? raha?
 
Kwa sababu ya kuweka sawa mambo yako ukamuacha Mungu ukaenda tegemea hirizi.

Anyway. Hongera kwa kumpa nafasi shetani maana kupanga ni kuchagua Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ