Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

Ishi humo!!
 
Kuna wapinzani kibao walikuwa wanafanya biashara zao na ni wapinzani na wanajulikana fika, Wakina Ndesa pesa enzi zake, shida wabongo wamejaa biashara za magumashi zile za Mision town ndio maana wanaona hawawezi toboa bila CCM
sasa kina ndesa walikua threat kwa ccm?
ebu kuweni serious basi, ni lini chadema ilikua threat kwa ccm (au raisi wa wakati huo kiasi cha kutishia nafasi yake)?
 
Kwakweli sijui ni kwanini watu ni waoga namna hiyo 😅😅🙏🙏
 
sio afrika, ni duniani kote mkuu!
huwezi kuwa tajiri mkubwa bila kuwa well connected na watawala (mifumo ya utawala),
Nchi zilizoendelea zina mifumo inayoeleweka serikali,bunge na mahakama ni mihimili inayojitegemea hakuna kiongozi anaefanya kitu kienyeji kama huku afrika nazani umeona hawa vilaza walichokifanya bungeni kuupitisha mkataba wa dpw kwa kura za ndio

Wakati bunge la marekani zilipigwa kura za wazi na dpw walitupiliwa mbali
 
Ni mtu mjinga pekee ataentertain huu ujinga. Watanzania tujitambue. Just Check wenzetu Kenya..... Kweli tunasafari ndefu
 
Wakina Ndesaburo mbona walikuwa wanafanya? Nchi imejaa waoga sana hawa yaani uoga utatuisha siku tukaingia kabulini. Mbowe alikuwa anafanya Biashara na awamu ya.Magufuri ni sema walianza hadi kufanya yale mambo ya plundering and looting
Mkuu ukiona ni mpinzani na unafanya biashara zako bila shida, ni wenyewe hawajaamua kukuvuruga.
 
Suala si kuwa mwsnaccm tu, pochi iliyonona ndiyo itakutambulisha wewe ni mwenzetu, jiulize c10 iliangukiaje toka kwa rost mpaka kwenye sahani ya ccm kwa mtindo wa nikune mgongoni nami nikukune wakati wa sitofahamu.
 
Mwanafalsafa mmoja wa Marekani aliwahi kusema ya kwamba "Politicians and diapers must be changed often, and for the same reason."
 
sasa kina ndesa walikua threat kwa ccm?
ebu kuweni serious basi, ni lini chadema ilikua threat kwa ccm (au raisi wa wakati huo kiasi cha kutishia nafasi yake)?
Kwa hio huyo Baa yake imefungwa ndio alikuwa threat? Una ujinga mwingi sana wewe
 
Ni mtu mjinga pekee ataentertain huu ujinga. Watanzania tujitambue. Just Check wenzetu Kenya..... Kweli tunasafari ndefu
Humu wamejaaa wapumbavu na haya mambi yanaendelea si kwa sababu ya Watawala ni kwa sababu ya Rai wajinga kama hawa humu
 
Hata hapo Kenya tu wakina Odinga wana Biashara zinaelewaka na hawafanwi kitu, tatizo Tanzania imejaaa mazezeta sana waoga tupu
Tatizo Wabongo biashara hazina mnfumo kama za Wakenya
Mwigu kakupua kaenda nunua mabasi bila mpangilio mara kanunia timu ya mpira haeleweki ukichaa wa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…