Bakhresa alijaribu kuwa CUF kilichomkuta anakijua mwenyewe
Inasikitisha sana mkuu. Lakini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Wanakula wao na watoto wao ipo siku yataisha mkuu. Hata akina Hitler walikuwa kama hivi.Raia ndio sababu nchi ina wajinga wa kiwango cha kusikitisha sana
Hiyo bendera ndiyo Firewall yakoKwenye biashara ya kahawa...nimeweka bendera ya ccm
Sio haaajaaamua sikiliza kama ndio ujinga tunawarithisha watoto wetu kuna shida sana, na ujinga mwingine ni ile nyie mnaenda kujipendekza kwa askari polisi au trafiki ili kupata ahueni, Kuna wapinzani kibao wana biashara zao.Mkuu ukiona ni mpinzani na unafanya biashara zako bila shida, ni wenyewe hawajaamua kukuvuruga.
Siku mojamoja uwe unapunguza ufala😃Mimi kuna mti mkubwa shambani kwangu nimefunga bendera ya chama, ndiomaana hata miche na mazao haishambuliwi na wadudu
Mbona kuna wapinzania kibao tu wana biashara Tanzania? Unazania hao wapinzania ulikuwa kuwa unaona hasa wabunge unazani hawakua na Investment?Tatizo Wabongo biashara hazina mnfumo kama za Wakenya
Mwigu kakupua kaenda nunua mabasi bila mpangilio mara kanunia timu ya mpira haeleweki ukichaa wa pesa
Kwa hio kwa sababu ya Bandari watu wasilipe KODI?Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
😃😃😃😃😃Mimi kuna mti mkubwa shambani kwangu nimefunga bendera ya chama, ndiomaana hata miche na mazao haishambuliwi na wadudu
Umejua late sana. Kunako 1995 SS Bakhresa alituhumiwa kuwasapoti CUF kule visiwani ambao walikuwa na nguvu sana miaka hiyo. Matokeo yake ngano yake ikazamishwa baharini kule bandarini. Akapeleka kesi mahakamani, akashinda. Serikali ikamlipa fidia, ndio kile kiwanda cha Buguruni ambacho kilikua cha taasisi ya National Milling ya serikali!Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Akili mtu wangu...Kwenye biashara ya kahawa...nimeweka bendera ya ccm
AahaaaaaNaskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
We unaita ujinga, wenzako wanaita reality za kufanya biashara. Become a businessman kwanza ndio uje ulete hiyo injili; kwenye nchi ambazo hakuna msingi wa demokrasia na uhuru, biashara na serikali zinakwenda pamoja. Kwamba kuna watu wachache waliofanikiwa kuendesha biashara na kuwa wapinzani, hizo ni exceptions, na huwezi jua ni kitu gani wanalipa ili kubaki hapo.Sio haaajaaamua sikiliza kama ndio ujinga tunawarithisha watoto wetu kuna shida sana, na ujinga mwingine ni ile nyie mnaenda kujipendekza kwa askari polisi au trafiki ili kupata ahueni, Kuna wapinzani kibao wana biashara zao.
Tatizo ni ujinga ulio wajaaa na huu ujina wa uoga mbawarithisha watoto wenu, ndio mambo ya kuja kuwa kama wakina Mwijaku
Hata hapo Rwanda hakuna mfanyabiashara atathubutu hata kumkarobisha mpinzani dukani kwake 😂😂Nakumbuka Jacob Zuma alisema kua,nanukuu,ni mfanyabiashara mjinga pekee ambae hayupo chama tawala
Kabisa. Hahaha.Mwanafalsafa mmoja wa Marekani aliwahi kusema ya kwamba "Politicians and diapers must be changed often, and for the same reason."
Umechelewa sana kuelewa 😁😁Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Yaani wendio unajua leo...🤔Siku mojamoja uwe unapunguza ufala😃
Kule Kuna taasisi na Vyama 2 vyenye Nguvu ila manyanyaso Kwa Wapinzani Yako pale pale.Ujinga huu upo sana Tanzania.Nchi kama kenya wafanyabiashara wakubwa wanasupport upinzani lakini hautasikia biashara zao zimefungwa..