Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

Hivi Mbowe nae si ni mfanyabiashara?
Yes. Lakini si unakumbuka hpteli yake ya Protea pale Machame ilifungwa enzi za mwendazake? Mashamba yake ya mbogamboga yaniharibiwa na RC Gelasius Byakanwa. Club yake maarufu Billicanas ilibomolewa!
 
Ujinga huu upo sana Tanzania.Nchi kama kenya wafanyabiashara wakubwa wanasupport upinzani lakini hautasikia biashara zao zimefungwa..


Sijui unapata wapi news kutoka Kenya, huyu Mama alikuwa ni supporter wa Ruto wakati wa Uhuru.... anyways, wako better kuliko sisi, lakini haina maana kuwa hawana ujinga. Mara baada ya Ruto kuingia, kesi za washirika wake zikaanza kufutwa bila maelezo
 
Ni mpuuzi huyo Jamaa anajiongrlesha ujinga,saizi Kenyatta anapata harassment kutoka Kwa Ruto likewise alifanya wakati yeye ni Rais.

Jimbo la Raila Jamaa hajapeleka mradi hata mmja wa Barabara 😂😂

Yanaropoka tuu hayajui kitu,labda Kenya ya nyumbani kwao.
 
Wanaropoka tu...

 
Ma ukitaka cheo au jipendekeze,kata viuno kwenye matamasha ya siasa,na mikutano.sifia Sana kama mtangazaji.teuzi iko pale
 
 

Attachments

  • 21C84A78-4B56-4B30-87DA-89CA4203035C.jpeg
    35.5 KB · Views: 1
Inafahamika kitambo sana
 
sio afrika, ni duniani kote mkuu!
huwezi kuwa tajiri mkubwa bila kuwa well connected na watawala (mifumo ya utawala),

ni afrika na baadhi ya nchi za asia.
Nchi zinazojitambua kama us na ulaya hazina huu upumbavu.
 
Hata Lowassa alipochukua tu kadi ya Chadema, tuhuma za ufisadi zikaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…