Hata kwa "saundi lundo" mkuu acha uoga sio kila mwanamke anataka hela.Nikatoka nduki maana niliona kama Kila mtu ananicheka aisee, umaskini sio mzuri Sasa kama maji ni 4000/= Mwanamke ningechukua kwa ngapi?
Sawa mkuu...ila hujanambia kuwa ushamba ni bei nliyotajiwa au kuondoka bila kupata hudumSio kweli, wewe mshamba kweli broo
Ndo maana nliondoka mkuu....sikuwa na compromise yyte due nliona napigwaHivi ya 50000 na ya 10000 zinatofautiana kilevi?au ndo mjinga ndo aliwae?hata kama Una pesa,kitu cha buku unauziwa 15000 na we unatoa hela huku unakenua tu.kesho unataka rushwa na kumuibia mtanzania masikini ili uzipeleke tena bar.
Sio kila kitu unaigaKiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Buku 5 mdada anavua chupi?? Dunia imeishaRiverside malaya ni buku 5
Labda aende uwanja wa fisi buku 3
Club wanaenda waliofikia uchumi wa katiKiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Masta Mpwayungu VillageHuko mbali sana, hata wavuvi camp tu huyu hatoboi. Ni mwalimu huyu kaka
Ni kwel mkuu mfano hapo samak samak kweny hako ka VIP kao unaweza jihisi hauko daslam due kuna ka ubarid flan iv....na nlichoona kingine ni kama wanawahudumia zaid wagen kutoka njeNadhani huko VIP bei inakua juu ili kupunguza msongamano.
Zipo sehemu salama za matajiriUkiwa na hela nyingi hata hizo sehemu utaanza kuogopa kwenda Kwa sababu utakuwa unahofia usalama wako.
So hao unaowaona hapo ,ni Waze Wa tukipata tunakula bata tukikosa tunatulia.
Endelea kuikimbiza sarafu kuna MUDA utakfika utakuwa unakula bata na sio anasa.
Kwa mpalange 10kBuku 5 mdada anavua chupi?? Dunia imeisha
Ni bora kunywea tu chocho....,kuna dogo alitoka pori kaja na vijihela akataka kiwanja executive,Diamond saiz VIP pale, Maji 3000
Vibe la eneo & relaxation yake, wine liqour store ni 13/15,000Hivi ya 50000 na ya 10000 zinatofautiana kilevi?au ndo mjinga ndo aliwae?hata kama Una pesa,kitu cha buku unauziwa 15000 na we unatoa hela huku unakenua tu.kesho unataka rushwa na kumuibia mtanzania masikini ili uzipeleke tena bar.
Huyu aende liquor store tu apewe kiti nje ya barabara akae anywe Maji bila mziki, sehemu za starehe mtaumizana tu ataondoka hajala maana mbavu tatu za mbuzi choma ni 50000
Kale kakonyag kadogo wanapiga 20 pale mlimani ciy man , πππNlienda samak samak pale juu Kuna ka VIP flan iv...kuulizia kvant nkaambiwa elfu 50...nliondoka tu cz huku kwa mtogole tumauziwa Cha ten
Sinunui....Bora waniueπKale kakonyag kadogo wanapiga 20 pale mlimani ciy man , πππ
π π π π πkama kuna watu ningependa kufahamiana nao nje ya mitandao ya kijamii ni Mpwayungu Village & dronedrake we have so much in commonHuyu aende liquor store tu apewe kiti nje ya barabara akae anywe Maji bila mziki, sehemu za starehe mtaumizana tu ataondoka hajala maana mbavu tatu za mbuzi choma ni 50000