Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.

Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.

Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.

Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.

View attachment 2859139
View attachment 2859140

Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Sio kila kitu unaiga

Piga stop kwa mama muuza… utakula loud music ya wana virunga na samba mapangala Siku imeisha

Know your limits
 
Club wanaenda waliofikia uchumi wa kati
 
Ukiwa na hela nyingi hata hizo sehemu utaanza kuogopa kwenda Kwa sababu utakuwa unahofia usalama wako.

So hao unaowaona hapo ,ni Waze Wa tukipata tunakula bata tukikosa tunatulia.

Endelea kuikimbiza sarafu kuna MUDA utakfika utakuwa unakula bata na sio anasa.
Zipo sehemu salama za matajiri
 
Diamond saiz VIP pale, Maji 3000
Ni bora kunywea tu chocho....,kuna dogo alitoka pori kaja na vijihela akataka kiwanja executive,

Nikampeleka kiwanja,kwanza dogo kafurahi sana nikaagiza bia na dogo bia tukala bia pale 12 nikamwambia dogo omba bili, bili kuja 60,000 dogo kahamaki nikamwambia hapa bia ni tano elfu (local),we unaona wahindi,wachina na wazungu wanapitapita unadhani chee.

Yeye alizoea zile za buku jero. Kiwanja ukiwa na hela ya mawazo utafedheheka.
 
Hivi ya 50000 na ya 10000 zinatofautiana kilevi?au ndo mjinga ndo aliwae?hata kama Una pesa,kitu cha buku unauziwa 15000 na we unatoa hela huku unakenua tu.kesho unataka rushwa na kumuibia mtanzania masikini ili uzipeleke tena bar.
Vibe la eneo & relaxation yake, wine liqour store ni 13/15,000
Bar classy classy ni elf 30
Melia elfu 50
Na kitu ni hiko hiko kimoja.
 
Huyu aende liquor store tu apewe kiti nje ya barabara akae anywe Maji bila mziki, sehemu za starehe mtaumizana tu ataondoka hajala maana mbavu tatu za mbuzi choma ni 50000
😀 😀 😀 😀 😀kama kuna watu ningependa kufahamiana nao nje ya mitandao ya kijamii ni Mpwayungu Village & dronedrake we have so much in common
 
Back
Top Bottom