Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa.
Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja).
Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London.
Ikapimwa uziti nikaambiwa,elfu kumi na nne.
Nikaambiwa kanunue bahasha katika Posta shop.
Nikanunua bahasha , kurudi gharama ikaongezeka,too much for me.
Nikarudi dukani kununua bahasha ndogo zaidi .
Ndipo hapo ubishi ukaanza.
Kuna label nyingi zinahitajika kuweka kwenye hiyo bahasha baada ya kuandika anuani. Hiyo bahasha haitatosha.
Wale wengine wanasema maliziana na yule jamaa halafu njoo hapa tupige muhuri,yule jamaa mmoja anagoma.
Basi,nikaondoka,nikasema nitarudi kesho.
Yule mtu alikuwa anaongea na mimi,anabishana na mimi, lakini he was too wordy, alikuwa anaongea maneno mengi superfluous, nilikuwa namkatisha kila wakati. Ndio ikawa ugomvi.