Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa.

Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja).

Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London.

Ikapimwa uziti nikaambiwa,elfu kumi na nne.

Nikaambiwa kanunue bahasha katika Posta shop.

Nikanunua bahasha , kurudi gharama ikaongezeka,too much for me.

Nikarudi dukani kununua bahasha ndogo zaidi .

Ndipo hapo ubishi ukaanza.

Kuna label nyingi zinahitajika kuweka kwenye hiyo bahasha baada ya kuandika anuani. Hiyo bahasha haitatosha.

Wale wengine wanasema maliziana na yule jamaa halafu njoo hapa tupige muhuri,yule jamaa mmoja anagoma.
Basi,nikaondoka,nikasema nitarudi kesho.
Yule mtu alikuwa anaongea na mimi,anabishana na mimi, lakini he was too wordy, alikuwa anaongea maneno mengi superfluous, nilikuwa namkatisha kila wakati. Ndio ikawa ugomvi.
 
Nimeandika dollar laki moja badala ya shilingi laki moja .
Lakini it is amusing kwamba wewe unafikiria sanamu ya Kanisani ni jambo la kipuuzi.
Oh!?. Mimi naandika mambo ya kipuuzi?
Na leo asubuhi niliposema vyombo vya Dola viache kutupa mitaani maiti wanazozichinja,wazichome moto basi, nilikuwa naandika upuuzi?
 
Nimeandika dollar laki moja badala ya shilingi laki moja .
Lakini it is amusing kwamba wewe unafikiria sanamu ya Kanisani ni jambo la kipuuzi.
Oh!?. Mimi naandika mambo ya kipuuzi?
Na leo asubuhi niliposema vyombo vya Dola viache kutupa mitaani maiti wanazichinja,wazichome moto basi, nilikuwa naandika upuuzi?
Unaniudhi.
Unanitukana instead of fithing with the dawgs that are stealing your money?
Kuna kipindi nilikuwa nafanya biasharra ya kuuza vitu kupitia eskimi aisee nilikuwa napata shida na posta.
Watu wanaringa wale acha tu.
 
Nimeandika dollar laki moja badala ya shilingi laki moja .
Lakini it is amusing kwamba wewe unafikiria sanamu ya Kanisani ni jambo la kipuuzi.
Oh!?. Mimi naandika mambo ya kipuuzi?
Na leo asubuhi niliposema vyombo vya Dola viache kutupa mitaani maiti wanazozichinja,wazichome moto basi, nilikuwa naandika upuuzi?
Uzee wote huo unatuma sanamu la saruji ya dangote na mchanga wa kunduchi!?
 
Naona kama hapakuwa na changamoto ya msingi ila na wewe ulikuwa mjuaji...
Nivizuri ujue kuwa, kuna wakati unahitaji kuelekezwa.....hata kama unatuma sanamu ya kanisa
 
Back
Top Bottom