Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816
Hongera sana mkuu. Ninapokuwa na nafasi, huwa nafanya kile ninachokiita WALKING TOUR.
.
Kuna wakati nilishawahi kutembea masaa zaidi ya kumi, kwa kupenda. Niliweka lengo la kwenda nilikokudia kwa miguu, umbali ambao kwa basi ni sh 4,000/=.

Nilianza safari saa kumi na mbili Asubuhi nikafika saa kumi na moja Jioni.

Nilitembea mpaka miguu ikawa haitaki knyanyuka, lakini nikaendelea kuilazimisha.

Nilichoka sana. Wengine walinainambia ningeamka kesho yake miguu ikiwa imevimba, lakini hilo halikutokea.
 
Unamaanisha? ...!!!
huwa siongei pumba mkuu ukiwa mzembe hauna mazoezi ya mara kwa mara unakuta na nimeona kwa macho yangu .

Hivi viatu vya ngozi na raba za ngozi huwa zinaisha unanunua kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…