Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

huwa siongei pumba mkuu ukiwa mzembe hauna mazoezi ya mara kwa mara unakuta na nimeona kwa macho yangu .

Hivi viatu vya ngozi na raba za ngozi huwa zinaisha unanunua kingine
Sijakubishia mkuu, nimeshangaa tu! Na ingekuwa upumbavu kama ningekubishia bila kuwa na uthibitisho.

Ila..., hongera!!!
 
43÷9= 4.7 km/hr
Ambayo ni almost mita 80 kwa dakika

Kitua ambacho naona alkua Kama anakimbia vile, sio kutembea Tena
Sahihi, mwendo wa kutembea kawaida, 43km utatumia muda usiopungua saa 11 bila kusimama au kupunguza spidi
 
Dibuuuu unajikuta Mwana Israel.
Au Kaka mkubwa ulikwesa Mikambo 😁😁.
 
Nilikuwa natembea na baiskeli km 55 kwa 3hrs.

Mara ya mwisho nilitumia baiskeli kuwahi usaili wa sensa.
 
Mi niliwahi tembea kwa mguu kutoka Geita mpaka sengerema, ilikuwa 2013.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka one day nilikuwa naendesha baiskel sasa kuna ile hutak mtu akuache njiani basi kuna jamaa nilikuwa nafukuzana nae kimya kimya kushtuka saa 10 jion naingia sengerem toka geita ile kurudi nafika kasamwa ilibidi baiskeli yangu niipand3she gari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kasamwa na geita mbona karibu ila sijui why nauli ni elfu mbili
 
Kasamwa na geita mbona karibu ila sijui why nauli ni elfu mbili
Mkuu sadari yangu ilianzia geita near ggm nikajikuta sengerema kwenye kzrudi kufika kaswamwa upepo ndio ukakata hapo ni kama km zaidi ya 70
 
43÷9= 4.7 km/hr
Ambayo ni almost mita 80 kwa dakika

Kitua ambacho naona alkua Kama anakimbia vile, sio kutembea Tena
Hapana alikuwa hakimbii. Maana mimi natembea kilia siku jion umbali wa km 6 kwa saa.
 
Kuna mbuga moja ya kutoka kasamwa kwenda sengerema sio poa
Mkuu sadari yangu ilianzia geita near ggm nikajikuta sengerema kwenye kzrudi kufika kaswamwa upepo ndio ukakata hapo ni kama km zaidi ya 70
 
 
Ongera sana mkuu kwa kupunguza kitambi mana vijana siku hizi vitambi ndio imekuwa jadi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…