Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.

Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.

Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.

Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.

Lakini ile kauli ya kuwa nachukiwa sababu mimi ni mzanzibari na muislamu haikufaa kutoka hadharani. Maana kila siku kwa maisha ya hapa Tanzania lazima akutane uso kwa uso na wakatoliki.
 
Hebu wanaharakati uchwara acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi.njooni na ubunifu wa kazi ili Serikali iwatengenezee fursa.
Sidhani kama ushambenga na uwanaharakati unaweza kukuendeshea familia.
Hadi sasa ukiuliza hoja zipi zinapaswa kufanyiwa kazi ili kuwagusa vijana hupati na hii ni kwa sababu ya kusubiri ushambenga kutoka kwa Mashangazi na madanga.
 
.................... na hii ni baada ya mafisiemu kuongoza nchi toka uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita na hata hawajui wanawasaidiaje wananchi wao, kama akili zenu zimeganda si mtoke wengine waongoze?
 
Yule sauti yake inasema mengi mno na pia anaonekana kisaikolojia furaha ni zero
Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etc
 
Kwamba kupinga ufisadi na utekaji ni vibaya? Mzee Ali Kibao alikuwa dini gani? We malaya muuza mk...
 
Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.

Ndio maana hata huko Usa Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.

Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.

Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.

Lakini ile kauli ya kuwa nachukiwa sababu mimi ni mzanzibari na muislamu haikufaa kutoka hadharani. Maana kila siku kwa maisha ya hapa Tanzania lazima akutane uso kwa uso na wakatoliki.
Yaani anayopitia huyu Mama hata kichaa ana unafuu,toka nizaliwe sijawahi kumuona mtu anayepitia kwenye magumu kama huyu,anabaki tu uso wake kumshuka sababu ya aibu,natumaini malipo yake yatakuwa makubwa sana
 
Kwamba kupinga ufisadi na utekaji ni vibaya? Mzee Ali Kibao alikuwa dini gani? We malaya muuza mk...
Tangu lini kanisa likapinga ufisadi?..walipata mgao escrow na benki yao ikatumika kupitisha hizo hela chapchap,wamelobby bandarini wapitishe mizigo yao bure
 
Uliona kanisa kama kanisa lilihusika na Escrow? Bandarini utapitisha mizigo bila kufuata sheria za nchi? Nenda kakamue mavi maiti
 
Hebu wanaharakati uchwara acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi.njooni na ubunifu wa kazi ili Serikali iwatengenezee fursa.
Sidhani kama ushambenga na uwanaharakati unaweza kukuendeshea familia.
Hadi sasa ukiuliza hoja zipi zinapaswa kufanyiwa kazi ili kuwagusa vijana hupati na hii ni kwa sababu ya kusubiri ushambenga kutoka kwa Mashangazi na madanga.
Mbona ushauri wa vijana upo wazi #SamiaMustGo.
 
Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.

Ndio maana hata huko Usa Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.

Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.

Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.

Lakini ile kauli ya kuwa nachukiwa sababu mimi ni mzanzibari na muislamu haikufaa kutoka hadharani. Maana kila siku kwa maisha ya hapa Tanzania lazima akutane uso kwa uso na wakatoliki.
TEC Hawapindishi
 
Back
Top Bottom