Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

Hebu wanaharakati uchwara acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi.njooni na ubunifu wa kazi ili Serikali iwatengenezee fursa.
Sidhani kama ushambenga na uwanaharakati unaweza kukuendeshea familia.
Hadi sasa ukiuliza hoja zipi zinapaswa kufanyiwa kazi ili kuwagusa vijana hupati na hii ni kwa sababu ya kusubiri ushambenga kutoka kwa Mashangazi na madanga.
Wewe ndiye mshambenga tena changudoa kabisa umeona kuna mtu amekuomba hela ya bundle humu? Uchawa wako unakupumbaza kiasi unataka ujimilikishe fikra za wengine, go toh hell !
 
Sasa ikawaje akamuweka Makamu wa rais mkatoliki kama wasemavyo masheikh?
Makamu wa rais ni nafasi ya kisiasa,haijalishi mtu ni mkatoliki,mhindu, Buddha au Pagani..yeye aliwasema genge la wahuni na walevi wa TEC
 
Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etc
Kijana wa shehe Bakonzi
 
Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.

Ndio maana hata huko Usa Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.

Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.

Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.

Lakini ile kauli ya kuwa nachukiwa sababu mimi ni mzanzibari na muislamu haikufaa kutoka hadharani. Maana kila siku kwa maisha ya hapa Tanzania lazima akutane uso kwa uso na wakatoliki.
Wakatoliki wameingiaje hapa ndugu mwandishi?
 
Rais wa TEC askofu pisa na katibu mkuu wa TEC fuska kitima wanawachukia mno waisilamu viongozi gentleman. hili halina hata chembe ya ubishi liko wazi sana.

mimi ni mkatoliki mbatizwa mwenye sakramenti takatifu za komunio ya kwanza, kipaimara na ndoa takatifu siwezi kuacha kusema ukweli kuhusu hao viongozi wanafiki wa kanisa :NoGodNo:
 
Makamu wa rais ni nafasi ya kisiasa,haijalishi mtu ni mkatoliki,mhindu, Buddha au Pagani..yeye aliwasema genge la wahuni na walevi wa TEC
TEC sio wahuni. Ndio maana wanapinga ufisadi wa warabu kupitia Dp world, utekaji, na mauaji ya Mzee Ali Kibao. Wewe nenda ukakamue mavi ya maiti tutolee use..
 
Toa upumbavu wako hapa.
 
TEC sio wahuni. Ndio maana wanapinga ufisadi wa warabu kupitia Dp world, utekaji, na mauaji ya Mzee Ali Kibao. Wewe nenda ukakamue mavi ya maiti tutolee use..
TEC wahuni tu,na huenda dp world wameminya maslahi yao,mbona hawakupiga kelele TICTS walipokua wawekezaji hapo bandarini,na TICTS wamehudumu tangu mkapa hadi dp world walipoingia?
 
Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etc
WEwe malay.a hujui unachoandika, tafuta bwana akufanye upunguze hasira na Kanisa Takatifu
 
Rais wa TEC askofu pisa na katibu mkuu wa TEC fuska kitima wanawachukia mno waisilamu viongozi gentleman. hili halina hata chembe ya ubishi liko wazi sana.

mimi ni mkatoliki mbatizwa mwenye sakramenti takatifu za komunio ya kwanza, kipaimara na ndoa takatifu siwezi kuacha kusema ukweli kuhusu hao viongozi wanafiki wa kanisa :NoGodNo:
We fala ongea pumba zako pila kujinasibisha na Ukatoliki. Hakujawahi kuwa na mkatoliki punguani kams wrwe
 
Makamu wa rais ni nafasi ya kisiasa,haijalishi mtu ni mkatoliki,mhindu, Buddha au Pagani..yeye aliwasema genge la wahuni na walevi wa TEC
Kwa sababu masheikh walisema kuwa pengine makamo wa rais anapewa maelekezo kutoka TEC, sasa wewe hauoni hatari hapo?
 
We fala ongea pumba zako pila kujinasibisha na Ukatoliki. Hakujawahi kuwa na mkatoliki punguani kams wrwe
ukweli lazima usemwe kadiri ya mafundisho ya katekisimu katoliki.
askofu pisa na fuska kitima wana chuki za waziwazi dhidi ya viongozi wa serikali kuu hasa wa dini ya kiisilamu, haijbaini wazi ni kwanini hasa.

cha kushangaza,
hao hao viongozi wa kikatoliki hususani askofu pisa na fuska kitima hawachukizwi kabisa na vitendo vya ulawiti, unyanayasaji wa kingono na ushirikina vinavyofanya na makasisi na watawa wa kanisa kikatoliki maeneo mbalimbali nchini. :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom