Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Mimi ni mzeeHebu vijana acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi
Hebu vijana acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi
.................... na hii ni baada ya mafisiemu kuongoza nchi toka uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita na hata hawajui wanawasaidiaje wananchi wao, kama akili zenu zimeganda si mtoke wengine waongoze?Hebu wanaharakati uchwara acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi.njooni na ubunifu wa kazi ili Serikali iwatengenezee fursa.
Sidhani kama ushambenga na uwanaharakati unaweza kukuendeshea familia.
Hadi sasa ukiuliza hoja zipi zinapaswa kufanyiwa kazi ili kuwagusa vijana hupati na hii ni kwa sababu ya kusubiri ushambenga kutoka kwa Mashangazi na madanga.
Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etcYule sauti yake inasema mengi mno na pia anaonekana kisaikolojia furaha ni zero
Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etc
Kwamba kupinga ufisadi na utekaji ni vibaya? Mzee Ali Kibao alikuwa dini gani? We malaya muuza mk...Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etc
Yaani anayopitia huyu Mama hata kichaa ana unafuu,toka nizaliwe sijawahi kumuona mtu anayepitia kwenye magumu kama huyu,anabaki tu uso wake kumshuka sababu ya aibu,natumaini malipo yake yatakuwa makubwa sanaNi kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.
Ndio maana hata huko Usa Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.
Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.
Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.
Lakini ile kauli ya kuwa nachukiwa sababu mimi ni mzanzibari na muislamu haikufaa kutoka hadharani. Maana kila siku kwa maisha ya hapa Tanzania lazima akutane uso kwa uso na wakatoliki.
Tangu lini kanisa likapinga ufisadi?..walipata mgao escrow na benki yao ikatumika kupitisha hizo hela chapchap,wamelobby bandarini wapitishe mizigo yao bureKwamba kupinga ufisadi na utekaji ni vibaya? Mzee Ali Kibao alikuwa dini gani? We malaya muuza mk...
Uliona kanisa kama kanisa lilihusika na Escrow? Bandarini utapitisha mizigo bila kufuata sheria za nchi? Nenda kakamue mavi maitiTangu lini kanisa likapinga ufisadi?..walipata mgao escrow na benki yao ikatumika kupitisha hizo hela chapchap,wamelobby bandarini wapitishe mizigo yao bure
KUmbe mizigo ya bakwata inaripia ushuru aisee balaa basi hiliTangu lini kanisa likapinga ufisadi?..walipata mgao escrow na benki yao ikatumika kupitisha hizo hela chapchap,wamelobby bandarini wapitishe mizigo yao bure
Hawa mabwana huwa wanajua kudhibiti, sio kutengeneza fursanjooni na ubunifu wa kazi ili Serikali iwatengenezee fursa.
Halina akili hili falaKUmbe mizigo ya bakwata inaripia ushuru aisee balaa basi hili
Mbona ushauri wa vijana upo wazi #SamiaMustGo.Hebu wanaharakati uchwara acheni fikra za ushambenga na mfanye kazi.njooni na ubunifu wa kazi ili Serikali iwatengenezee fursa.
Sidhani kama ushambenga na uwanaharakati unaweza kukuendeshea familia.
Hadi sasa ukiuliza hoja zipi zinapaswa kufanyiwa kazi ili kuwagusa vijana hupati na hii ni kwa sababu ya kusubiri ushambenga kutoka kwa Mashangazi na madanga.
TEC HawapindishiNi kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote.
Ndio maana hata huko Usa Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto.
Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi.
Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni.
Lakini ile kauli ya kuwa nachukiwa sababu mimi ni mzanzibari na muislamu haikufaa kutoka hadharani. Maana kila siku kwa maisha ya hapa Tanzania lazima akutane uso kwa uso na wakatoliki.
Hakuna wa kumgomea kiongozi wa Nchi! Ulitaka akae mbele sniper wamtungue?Wale masista watawa waligoma kumpisha au protokali ikoje naona kama alikaa nyuma ya watawa wa kikatoliki