Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

Mada juu ya jambo zito sana; lakini zinakuwa nyepesi nyepesi; hazichambui chochote.
"Trump anatukanwa kama mtoto", lakini hajaua mwananchi yeyote anayemtukana.; hakuingia madarakani kwa nguvu; na anaweza kuondolewa madarakani na wananchi wa huko kupitia kwa wawakilishi wao.

Hapa tunayo majambazi yanayofanya kila aina ya uovu yabaki madarakani kwa nguvu; yaibe raslimali za nchi, bila ya kuhojiwa na yeyote..

Tumo humu JF, tukivutana na wasaka fursa na wanaofikiri Samia Suluhu Hassan ni wao kwa hayo hayo ya udini anayowachochea huyo mtu wao; hawatazami uTanzania wao kwanza.

Trump hanunui fadhili kwa yeyote kwa kutumia pesa ili aungwe mkono na yeyote; hapa Samia anashikilia akina Mwigulu, Kabudi, Nchimbi na wengine wote wateuliwa walinde himaya anayoijenga Samia, Kikwete na Genge lao
Trump, kila mara anaimba maslahi ya nchi yake kwanza; Samia anafanya kila njia, hadi kuua waTanzania abaki madarakani kulinda maslahi yake na Genge lake.

Siwezi kusema huyo kiongozi wa Marekani ni mwenye busara kumshinda huyu wetu; lakini ni wazi kabisa sisi tumo kwenye janga kubwa zaidi.

Uongozi wa nchi hii usifanyiwe mzaha tena baada ya kuondoa takataka hizi zilizopo madarakani sasa hivi.
 
Hao viongoz akil zao hazifanyi kazi kabsaa?? Wanasubri kuambiwa wafanye kipi na wananchi kama viongoz ? Bas wamepotea kama hawana hata hoja ambayo wanaweza Fanya kazi,basi nakupa chache washulikia utekaji,wasiibe kura,na ajira zitolewe bila ubagiz zingine na ww ongezea kama kiongoz ,
 
Huyo ndugu yako unayemshauri ni zuzu asiyejua uzito wa dhamana aliyo ibeba.
CCM kuruhusu mpuuzi kama huyo awaongoze, na zaidi waone kuwa afaa kuliongoza taifa ni zaidi ya kutojitambua.
 
Natamani haya mambo yasuluhishwe kwa sababu sioni mwisho mwema..

Serikali ina power ya kuendesha vitu vingi.

Ila Roman Catholic Church ina power pia na kidunia. Serikali yetu haina influence hata robo ya RC iliyonayo..

Kwa hiyo japo pande zote zina limits ila hii tension inahitaji akili kubwa kuliko iliyolitengeneza ili liishe.. Kwa sababu sijaiona pande moja yenye uwezo wa kuforce upande mwingine directly
 

Attachments

  • Screenshot_20251214-203647.jpg
    166.2 KB · Views: 14
Aliwapiga spana vizuri tu, kiongozi mkuu aliisema hadharani agenda yenu,akasema hadharani illusion yenu ya kudhani mna nguvu,kuna kanisa linalosimamia kondoo na kuwanyonya halafu kuna serikali inayosimamia kanisa,kondoo,nyumbu etc
Majambazi yakija nyumbani kwao utafanyaje?
Najuwa huna akili ya kujibu swali hilo.

Sasa subiri utaona jinsi gani majambazi huwa yanashughulikiwa kwa akili, siyo tope kama ilyojaa kichwani mwako.
 
"...... mimi ni mkristo mkatoliki hivyo mtanizoea taratibu..."
 
Kwani alichokisema mama Samia ni uongo?!!! Aendelee kuficha uozo kwa sababu ya kumuogopa nani?!!! Ile ndo ilikuwa dawa ya kumaliza ule ujinga. Hao TEC lao moyoni wanalo tu hata kabla ya mama kusema chochote na wataendelea kuwa nalo tu hata asiseme chochote. Samia, au Raisi mwingine yeyote wa kiislamu atayekuja, TEC hawawezi kuwa nae pamoja abadan.......labda kinafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…