World product
Senior Member
- Jun 4, 2024
- 115
- 288
- Thread starter
-
- #101
Tena wana rehabs center nyingi sana mzazi au mtu wako wakaribu akikugundua kuwa unashida hiyo anakupeleka mapema kupata matibabuHujafuatilia mkuu.
Betting wazungu wenyewe wanaiogopa kishenzi na ndio maana wana center za afya ya akili kwa matatizo ya kisaikolojia ikiwemo betting addiction.
Hili linatumaliza kiakili hatuliachii mkuu.
Shida hata ukiwa na kipato kikubwa lazima utabet kwa kipato kikubwa na madau makubwa ila hapa tunazunguzia madhara ya kiafya ambayo changamoto tarajia kwa scale kubwa sanaWao ni starehe and kipato kikubwa. ..wabongo wamegeuza kazi na kipato kidogo
Hajafanya research huyo, yaani mke akigundua mume anacheza kamari anaweza hata kudai talaka au mume akampa talaka mkeTena wana rehabs center nyingi sana mzazi au mtu wako wakaribu akikugundua kuwa unashida hiyo anakupeleka mapema kupata matibabu
Ndivyo mchezo wa betting ulivyo. In a long run, ni lazima utaliwa. Isingekuwa hivyo basi kusingekuwa na betting companies kwa sababu zingefilisika zote. Ila kuwa wanaobahatika kubadili maisha yao japo ni wachache. Wengi ndiyo hupoteza.Baba jana nimepigwa 400K.
Bare in your mind hapo J3 nilipiga 800K ,, inshort gambling haswa betting pesa utakula lkn siku chache baada ya hapo sijui wanakutumia majini unapigwa vipigo mpk unaacha ndala.
Mzee hili swala nasema lazima watengeze rehab center wapo vijana wambao wanatamani kuacha ila wanashida tuwape fursa ya kuanza matibabu mapema maana kwa hospital za kawaida hukuchulia poa sana magonjwa ya akili tena ambayo wanasababisha na matumizi ya technology kwasababu even wataalamu wapo na nadharia tofauti vijana wengi wanapata ugonjwa wa presha,yote kwasababu ya kudharauHili linatumaliza kiakili hatuliachii mkuu.
Betting ni kundi dawa za kulevya zilizohalaishwa kwa wanufaika kwababu inaweza kuchota pesa kwa watu wote maskini na matajiri haitajiki formula ya high demand high profitBetting ni mbaya saaana
hakuna kifo kizuri.Watakufa vibaya sana
Swala la muda tu .Wa nje wa nje wa ndani wa ndani…over
Kama kwa watumiaji wa madawa wapo ambao madhara yake ni ngumu kuona ila hapa ni maswala ya addiction yanavyoweza kuleta janga la taifa kwa watu wote wazee kwa vijanaNdivyo mchezo wa betting ulivyo. In a long run, ni lazima utaliwa. Isingekuwa hivyo basi kusingekuwa na betting companies kwa sababu zingefilisika zote. Ila kuwa wanaobahatika kubadili maisha yao japo ni wachache. Wengi ndiyo hupoteza.
kwa hiyo ...watu wanatumia madawa ya kulevya ili wapate pesa sioUmeona hiyo hali ndio ilikuta watumiaji wa madawa ya kulevya kuamini kuwa kumwambia atajua mwenyewe hujengea hali ya kutoacha hiyo michezo
Eeh kweli Nyani haoni kundule...Lema, heche na mchungaji Msigwa ni miongoni mwa addicts wakubwa mno wa hiyo nonsense gentleman 🐒
Swala la muda hata kwa watumiaji wa dawa za kulevya wapo wanaoweza mudu ila asilimia kubwa huonesha madhara directSwala la muda tu .
Kama huna vyanzo zaidi ya vitatu vya pesa nashauri usijaribu kuchezaSwala la muda tu .
Ukisikiliza "not afraid" ya Eminem ndip unagundua Addiction sio poa.Swala la muda hata kwa watumiaji wa dawa za kulevya wapo wanaoweza mudu ila asilimia kubwa huonesha madhara direct
Addiction ni swala lipo hapa wote wanatumia pesa mmoja anatumia pesa apate pesa ila ndani yake anajua hawezi kupata ila kudhamira inamwanisha anatapa kadri muda unavyozidi malengo yanabadilika kuwa apate furaha kumbuka muda huo huo pesa zinapoteakwa hiyo ...watu wanatumia madawa ya kulevya ili wapate pesa sio