Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

kaa usubili dua la kuku alimpati mwewe..

Kwa hiyo mkuu wewe umesimama 'unasubiri dua la mwewe linampata kuku?'

TWAWEZA mkuje huku kuna mwingine kwa majina anakwenda kama "Pigs Man" chukueni details zake anafaa for future references.
 
Lockdown is coming soon mjiandae kifikra

Huu ugonjwa utatuua kama m’bu


Sent using Jamii Forums mobile app

Ni suala la muda tu. Magufuli mwenyewe na serikali yote wanajua hivyo. Wamefanya siri kwa muda tu. Wanavuta vuta tu ka muda.

Bahati mbaya ni kuwa hilo linaendelea wakituweka sote rehani.

Utabiri wangu huu hapa: April haiishi bila Tanzania kwenda on total lockdown". Haya ya uchaguzi mkuu uko palepale ni geresha tu ya kununulia muda. Nani ana hamu na huo uchaguzi kwenye hili sekeseke la Corona?

'Fumbo mfumbie mjinga'

Tukumbushane come May.
 
MsemajiUkweli,
Huu ndio ukweli halisi kwa mazingira yetu. Labda niongezee tu,

Hizo nchi za Rwanda na Uganda wana hatari ya kumaliza watu wao kuliko Tanzania na Burundi.

1. Mtu mwenye njaa inafikia hatua yupo tayari kwa lolote. Pata picha upo ndani watoto wanakulilia njaa njaa njaa, ukitoka unaweza kufa, ukibaki ndani unakufa kwa hakika so mtu anaona bora atoke ajaribu bahati yake.

2. Wote wanaofanya lock down hakika wanajisumbua. China ilijaribu Wuhan, yes kumekuwa na mafakinio lakini bado maambukizi mapya yamekuwepo na yanaendelea kuongezeka. Sasa hili likija kwetu ni ngumu kuliko maelezo.

3. Si kweli kuwa lockdown wataifanya siku zote, ipo siko wataachia. Watakapoachia wale ambao wana virusi ila hawana dalili wanaweza kusambaza tena kwa wengine.

Solution ipatikane kinga/chanjo na dawa ila hizi nyingine ni kujilisha upepo tu.

Na serikali itakayoingia mkenge kufata hizi policy za wazungu, itakuwa impoteza kila kitu for sure.

Wanaofanya lockdown hawajisumbui. Watakapowabaini waathirika wa ndani watawatenga na kuchukua hatua stahiki. Watakuwa wameisafisha nchi.

Baada ya hapo itakuwa kudhibiti maambukizi mapya toka nje.

Namna gani ya kuzuia maambukizi tokea nje inafahamika. Ugonjwa utakuwa umedhibitiwa.
 
Binafsi Popote sijawahi kusuport ujinga wa kufunga mipaka ila hoja yangu ilikuwa kuweka vipimo mipakani kwanza ukifungia watu ndani binafsi siwezi kushinda ndani kulingana na mazingira ya kazi.

Tukikukuta una ugonjwa mpakani unarudishwa ulikotoka fasta kufungia watu ndani itabidi serikali iwalipe je tunaweza binafsi nikikaa ndani naweza poteza pesa nyingi sana na vijana wangu wanaonisaidia kazi watakwama na kukosa chakula tuendelee kuchapa kaz ugonjwa utapita 2.

Mkuu ugonjwa kuonekana kwa uhakika ni mpaka quarantine ya siku 14. Hiyo ndiyo njia pekee ya sasa kuzuia ugonjwa kuja tokea nje.

Tulipo ugonjwa tayari upo ndani.

Kuuondosha ndani ili tupambane na wa nje ndiyo changamoto ilipo. Hakuna mtu anayependa kuwa locked down. Kila mtu atapata hasara lakini njia pekee iliyopo.

Inapobidi kupata ufumbuzi hata zile mbinu zenye kutuumiza ni shuruti kuzikubali.

"Mtaka cha uvunguni ni sharti ainame."
 
Lakini hao wenye vifaa,wenye pesa,wenye madaktari BADO WANAKUFA.
kwa hyo sababu yako ni batili.
Hata kama corona ikiamua kuua hapa TANZANIA.
Hauwezi kuilaumu serikali kwa sababu hizo.
MsemajiUkweli ,

..Tz haina CAPACITY ya kuwapima, kuwahifadhi, na kuwatibu, wagonjwa wa Corona ikiwa ugonjwa huo utaingia hapa nchini.

..Kutegemea msaada wa serikali hii ni UENDAWAZIMU. Hivyo basi ni bora kumuomba MUNGU atuepushe kwasababu hatuna serikali ya kuitegemea.

..Uamuzi wa Raisi ulikuwa very simple. He does not have the options ambazo mataifa mengine yanayo. Uamuzi hapa ni KUSUBIRI tuone nini kitatokea. Kwa wale wenye imani wanatakiwa KUSALI.

..Hatuna vifaa, hatuna wataalamu, hatuna fedha. Lakini tunaweza KUSALI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda wameshaanza kuuana kwa risasi.
Unapona corona unakufa kwa risasi.
MsemajiUkweli,
Huu ndio ukweli halisi kwa mazingira yetu. Labda niongezee tu,

Hizo nchi za Rwanda na Uganda wana hatari ya kumaliza watu wao kuliko Tanzania na Burundi.

1. Mtu mwenye njaa inafikia hatua yupo tayari kwa lolote. Pata picha upo ndani watoto wanakulilia njaa njaa njaa, ukitoka unaweza kufa, ukibaki ndani unakufa kwa hakika so mtu anaona bora atoke ajaribu bahati yake.

2. Wote wanaofanya lock down hakika wanajisumbua. China ilijaribu Wuhan, yes kumekuwa na mafakinio lakini bado maambukizi mapya yamekuwepo na yanaendelea kuongezeka. Sasa hili likija kwetu ni ngumu kuliko maelezo.

3. Si kweli kuwa lockdown wataifanya siku zote, ipo siko wataachia. Watakapoachia wale ambao wana virusi ila hawana dalili wanaweza kusambaza tena kwa wengine.

Solution ipatikane kinga/chanjo na dawa ila hizi nyingine ni kujilisha upepo tu.

Na serikali itakayoingia mkenge kufata hizi policy za wazungu, itakuwa impoteza kila kitu for sure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tuna rudi pale pale ukiwafungia watu ndani kwa siku 21.
WATAKULA NINI?
Ni kwa sababu Corona aijawa tatizo Tanzania na tuombe hali iendelee kubaki ivyo.

Wanaotaka watu kubaki majumbani sio kwamba wana hela za mchezo za kugawa isipokuwa hiyo ndio njia pekee ya kupunguza kasi ya ukuaji vinginevyo ingekuwa ni balaa.

Kubakiza watu majumbani ni maamuzi ya kisayansi sio kupenda ukiacha watu waendelee na shughuli kama kawaida mtu mmoja anaweza unga chain ya watu mianne ndani ya mwezi na ukifungia watu mtu mmoja anaweza sababisha chain ya watu 30 ndani ya mwezi unaweza ona tofauti kubwa sana hapo kwenye rate ya maambukizi.

Lengo la hatua hizo ni kuweza ku manage capacity ya utoaji wa huduma za afya ambazo hata kwa kufungia watu bado resources azitoshi kuhudumia wagonjwa ndio maana unaona hotel, sports centre zinageuzwa hospitals, wastaafu wanaitwa kurudi kazini, manesi wa mwaka wa mwisho washaajiliwa bila ya ku graduate na voluntary zaidi ya laki mbili na nusu wanahitajika NHS nchi kama UK.

Ukisema uache mambo yaendelee kama ilivyo ndio kabisa ni death sentence kwa watu wengi kwa sababu watakuwa hawana hiyo capacity ya ku deal na idadi ya wagonjwa kutokana na rate ya maambukizi.

Ndio maana wengine tunaomba hili janga mungu atuepeshuie mbali kama lilivyowakumba wengine maana sijui itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali hao uliowafungia ndani siku 21 watakula nini?.
Wanaofanya lockdown hawajisumbui. Watakapowabaini waathirika wa ndani watawatenga na kuchukua hatua stahiki. Watakuwa wameisafisha nchi.

Baada ya hapo itakuwa kudhibiti maambukizi mapya toka nje.

Namna gani ya kuzuia maambukizi tokea nje inafahamika. Ugonjwa utakuwa umedhibitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tuna rudi pale pale ukiwafungia watu ndani kwa siku 21.
WATAKULA NINI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona - JamiiForums

Anza na kusoma post yangu hapo juu kwenye thread nyingine kuhusu food demand Tanzania kwenye kipindi hiki.

Tatizo letu sisi ni watu wakukumbuka shuka asubuhi na kuishi maisha ya fatalism.

Swala la watanzania kuishi maisha ya hand to mouth lilikuwa wazi muda mrefu tu (personally nilishawai li address kwenye angle nyingine) na swala la ku control spread ya virus lilikuwa wazi muda mrefu.

Sasa badala ya serikari kujipanga ikifika hatua za lockdown itakuwaje hakukuwa na mikakati yoyote janga limeingia tunaanza mambo yetu ya kiafrika fatalism approach badala ya sayansi.

Ni hivi kuna nchi zinajuta kuchelewa kuchukua maamuzi magumu mapema kisa kulinda uchumi na sasa wanalipa gharama ya kuchelewa.

Ni fact pia isiopingika wengi wetu bila ya kutoka hakuna kula lakini kitakachofuata god forbid. Sasa kuzuia athari chini ya lockdown kama nchi za Africa inabidi zikope au mbinu zozote watakazoamua lakini solution sio watu kuendelea kuishi kama ilivyokuwa na inatabiriwa nchi za third world kama ugonjwa una athiri watu weusi kama ilivyo kwa wazungu by the end of the pandemic the death toll will be in millions kutokana na health services zetu zilivyo under resourced.

Hili sio swala la kubishana watu washafanya research zao na zimeshawapiga wale waliochelewa kuchukua hatua; unless we are special breed of people kama baadhi wanavyoamini. Vinginevyo bila ya kufuata mbinu zilizopimwa hilo gonjwa likianza kushika kasi ndio tutaelewa pale baba zetu, mama zetu, bibi zetu, babu zetu, sisi wenyewe na wengine watakapoondoka kabla ya siku zao kisa Corona.
 
Huko kwa Madiba raia wameligomea tamko halali la serikali yao....sababu kuu ni njaa wananzengo hawana chakula ndani... wanasema watapigana ana kwa ana na covid 19 afe yeye au wafe wao ila lockdown kwao itaishia mdomoni mwa watawala tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu source wapi? Weka source ya huu upupu.
 
Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona - JamiiForums

Anza na kusoma post yangu hapo juu kwenye thread nyingine kuhusu food demand Tanzania kwenye kipindi hiki.

Tatizo letu sisi ni watu wakukumbuka shuka asubuhi na kuishi maisha ya fatalism.

Swala la watanzania kuishi maisha ya hand to mouth lilikuwa wazi muda mrefu tu (personally nilishawai li address kwenye angle nyingine) na swala la ku control spread ya virus lilikuwa wazi muda mrefu.

Sasa badala ya serikari kujipanga ikifika hatua za lockdown itakuwaje hakukuwa na mikakati yoyote janga limeingia tunaanza mambo yetu ya kiafrika fatalism approach badala ya sayansi.

Ni hivi kuna nchi zinajuta kuchelewa kuchukua maamuzi magumu mapema kisa kulinda uchumi na sasa wanalipa gharama ya kuchelewa.

Ni fact pia isiopingika wengi wetu bila ya kutoka hakuna kula lakini kitakachofuata god forbid. Sasa kuzuia athari chini ya lockdown kama nchi za Africa inabidi zikope au mbinu zozote watakazoamua lakini solution sio watu kuendelea kuishi kama ilivyokuwa na inatabiriwa nchi za third world kama ugonjwa una athiri watu weusi kama ilivyo kwa wazungu by the end of the pandemic the death will be in millions kutokana na health services zetu.

Hili sio swala la kubishana watu washafanya research zao na zimeshawapiga wale waliochelewa kuchukua hatua; unless we are special breed of people vinginevyo bila ya kufuata mbinu zilizopimwa hilo gonjwa likianza kushika kasi ndio tutaelewa pale baba zetu, mama zetu, bibi zetu, babu zetu na wengine watakapoondoka kabla ya siku zao kisa Corona.
Tatizo kila kitu Unataka kuiga lini utaigwa mkuu.
Kenya, Uganda na Rwanda wameiga lockdown but ndiyo kwanza idadi ya wagonjwa inaongezeka kuliko kwetu umeshajiuliza kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wanataka watu wakishafungiwa ndani waanze kuilaumu serikali kuwa imewafungia watu ndani bila kuwapa chakula.
Yaani wao ni kuona serikali inafeli kila mahala.
BADILIKENI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ungekuwa na mawazo ya wastani ungetambua serikali ingepongezwa kwa hilo.

Mawazo yako Rwanda, Africa kusini, uganda, kwnta, DRC, Burundi na kote wameamua kwenda lockdown ili walaumiwe na wananchi? Ila 'wajinga nyinyi' kwa ujinga mliokuwa nao mmeng'amua na sasa mko pembeni mmependwa ba wananchi?

Si nyani na kun**le kweli hapa?

Fikiria kidogo haiwezekani kuwa akili yako ina mishkeli japo kidogo?
 
Tatizo kila kitu Unataka kuiga lini utaigwa mkuu.
Kenya, Uganda na Rwanda wameiga lockdown but ndiyo kwanza idadi ya wagonjwa inaongezeka kuliko kwetu umeshajiuliza kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app

TWAWEZA mkuje ni na hapa. Huyu anadhani lockdown imeongeza maambukizi huku. Anawashauri waiondoe mara moja na Corona itaishia ka mvuke tu.
 
Tatizo kila kitu Unataka kuiga lini utaigwa mkuu.
Kenya, Uganda na Rwanda wameiga lockdown but ndiyo kwanza idadi ya wagonjwa inaongezeka kuliko kwetu umeshajiuliza kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotumia scientific logic kwenye maamuzi uigi; bali ni approaches zilizopimwa through tests.



Nilishawahi kuweka hiyo documentary nyuma yenye lengo la kutengeneza mathematical model ya kukabiliana na majanga aina ya Corona, icho kipindi kilitengenezwa 2018. Mwaka kabla ya Corona kuibuka.

Sasa usidhanie watu wanajiamkia asubuhi wanaamua solution ni lockdown hapana wamekusanya data, wamefanya simulations zao na kutafuta majibu ya scenario tofauti zinazoweza kuja kutokea.

Sisi tunaunda timu ya disaster management majanga yashafika; hiyo knowledge team hujui ina kina nani zaidi ya kuambiwa wataalamu wa afya wepi? Wanajua wenyewe hizo timu mbili zingine ndio hata uelewi zinamajukumu gani tofauti na wajibu wa kila siku wa makatibu wakuu na mawaziri.

It’s a disaster ni mungu tu ndio anajua kesho yetu watanzania kwenye hili la Corona.
 
Back
Top Bottom