Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

Tuchukue fursa hii kuyabaini mapungufu tuliyo nayo kijamii ili tuchukue tahadhari kubwa huko mbeleni kutokana na majanga mbali mbali yanayoweza kutuathiri kwa sababu ya wananchi wetu kutokuwa imara kiuchumi.

Wengi wetu ni wachumia tumbo kutokana na lack of employment opportunities.

Umasikini ni mkubwa kiasi cha mtu kutoweza kujifungia ndani hata kwa wiki mbili tu akijitegemea kwa mahitaji muhimu kama chakula nk.

Uvivu wa Watanzania kukimbilia mijini na kutaka light jobs, kuendesha boda boda na kufanya uchuuzi wa bidhaa kutoka nje vimetuweka mahala pabaya sana kuweza ku sustain living kiasi kwamba janga likitokea tunashindwa kukabiliana nalo kutokana na madhaifu tuliyonayo

Kama taifa inabidi tubuni sera ambazo zitabadili mtazamo wa wananchi wetu ili tujikite zaidi kwenye kilimo, viwanda vidogo vidogo na vikubwa ili kuondokana na utegemezi wa bidhaa za nje na tuweze kujenga uchumi imara.

Mungu ibariki Tanzania.

Mungu tuokoe katika janga la COVID-19..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi nikikuuliza hapo nyumbani kwako una akiba ya unga na maharage kilo ngapi unaweza ukanijibu?..
Ebu fikiri maduka yote ya chakula yafungwe kila mtu akae ndani..
Nani atakuletea chakula?
Kwa hyo watu wafe na njaa sababu ya corona?.
Sio kila jambo la kuiga..
Hali hapa kwetu imetulia na hakuna haja ya kufungia watu kisa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani ni bora tuwapige risasi hao walioambukizwa kuliko watanzania mil 60 kuteseka kwa njaa na kupigwa na mapolisi
WACHACHE WAFE WENGI WAPONE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua wewe utakuwa na matatizo ya akili au agenda binafsi ya kuichafua serikali.
Kuna sehemu nilikuuliza WEWE UNA FANYA KAZI GANI YA KUKUINGIZIA KIPATO.
Mpaka Leo haujanijibu..
labda nikuulize swali jingine WEWE UMEJIFUNGIA NDANI AU UNATOKA KUFANYA KAZI KWA WIKI HIZI AMBAZO CORONA IMEINGIA.
tuoneshe MFANO jinsi wewe unavyoishi bila kufanya kazi kipindi hichi cha corona uenda Tukajifunza kitu.
Bandiko #77 limeeleza kwa urefu watu watakuwa wana kula nini katika kipindi hicho. Kwa nini unakurupuka bila kusoma uzi wote mjinga wewe?!

Username yako mkuu inakuakisi vilivyo. Hivi ulijijua je mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu mantiki ya bandiko lako iko wazi. Pia natumaini unaiona dhahiri total lockdown kama njia pekee katika kuzuia kusambaa na hata kuutokomeza ugonjwa huu. Wala hakuna kitu kama kuichuria serikali kwa kuleta lockdown.

Rwanda, South Africa, Burundi, Zimbabwe, nk wanaoelekea kwenye lockdown wanakwenda ndani ya raslimali zao ili kujinusuru.

Tunazo raslimali za kutosha. Kwa kushirikiana tutashinda:

1. Serikali isitishe miradi mikubwa ya maendeleo.
2. Ruzuku za vyama vya siasa zisimamishwe.
3. Mipango ya uchaguzi mkuu na budgets zake zisitishwe.
4. Kuundwe mfuko wa kuchangiwa kwa hiari kusaidia watakaokuwa kwenye mazingira magumu.
5. Nk nk

Tupambane na hali yetu hata katika mazingira ya sasa kabla ya hayo maboresho uliyopendekeza, sisi katika umoja wetu tunaweza.

Hatuko that miserable kuliko vi nchi hivi vidogo vidogo vilivyo hata landlocked.

Ila kwa utabiri wangu stay tuned serikali inajivuta kwa makusudi. April haiishi bila lockdown.
 
Mimi nadhani ni bora tuwapige risasi hao walioambukizwa kuliko watanzania mil 60 kuteseka kwa njaa na kupigwa na mapolisi
WACHACHE WAFE WENGI WAPONE.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata Al Shabab ana mawazo kama yako mkuu. Wamejikatia tamaa na maisha wako tayari kulipuka na wote.

Si unamkumbuka hata Mohammed Atta. Alilipuka na wengi kwa sababu tu yeye alishajikatia tamaa.
 
Ona. Simple like that. Unatoa lawama Fake kwa kuwa Ni mdakaji wa mambo. Uwe na uungawana wa kukiri kuwa wewe Ni MPUMBAVU na kuomba msamaha. Jinga kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa cho'ko unayetafuta basha kwa nguvu...mimi sio msafisha mitaro mbwa wewe! Rudi kwenye mada na kama huna hoja, shut your fvck up.
 
Hakuna nchi iliyozuia uuzwaji wa chakula.

Mwisho wa hatua za huyo bwana zipo wazi. Ndio sawa na ubishi wenu kama mnadhani kutakuwa na outcome nyingine serikari isipoumiza kichwa.
 
TOO CHEAP... ni dalili ya kukosa hoja otherwise usingetengeneza post ambayo ilishakuwa edited! Hoja ni hii hapa:-
Anyway, but what would I expect from a minion sworn to defend anything from the ruling elites...
 
Mbumbumbu katika ubora wake. Pole mkuu kwa kuwa mbumbumbu wa maisha!
Another minion sworn to defend everything from the ruling class even if it's stupid! Pole sana...
 
Kaka naona unatumia nguvu nying ili tu watu wamlaum magufuli hahahaha endelea bas [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni nani alitangaza watu waendelee kujazana kwenye nyumba za ibada?

Kwani ni nani alitangaza hatutazuia international flights?!

Hivi kuna haja ya kutumia nguvu hapo wakati kila mwenye masikio alisikia?!

The problem ya watu kama nyinyi mpo hapa kutetea kila aina ya upumbavu kutoka serikalini na Lumumba!
 
Subiri muda unakuja utawaona wakisarenda wenyewe kwa kuwaachia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikasema uwezo wetu wa kiuchumi na mazingira ya kijamii hayaruhusu wananchi kuwafungia ndani zaidi ya wiki moja bila kufanya shughuli za kuwaletea chakula cha siku.

Maana ya maneno yangu niliyosema, think globally but act locally yanasadifu dhana yangu.
 
Kwanini shule na vuo vimefungwa kama nchi za magharibi
Kwenye suala la kiuchumi, nchi za Magharibi zimeweza kufanikiwa kufunga mipaka na kuwalazimisha wananchi wake wabakie majumbani mwao kwa masaa 24 bila kutoka nje kwa sababu mazingira ya kiuchumi yanaruhusu kufanya hivyo.
Fallacy! Nchi za magharibi zimelazimika kutokana na ukali wa maradhi.Tarehe 26 Italy wamefariki watu 900 katika 24 hours, angalia takwimu katika nchi nyingine pia.
Uchumi wa nchi hizo hasa sekta za anga, utalii, uzalishaji zimeathirika katika kiwango kikubwa
Si kweli kuwa hali ya uchumi ni nzuri, bali hali ya maradhi inalazimisha hilo kutokea.
Marekani ina deni la dollar Trilioni 2 kukabiliana na athari za COVID kiuchumi na kijamii.
Wananchi wa nchi hizo hulipa kodi ya EI(Employment Insurance) kila 'cheki' ya mshahara.
Hiyo ni Insurance ikitokea lisilotarajiwa kama sasa .
Hivyo Serikali zinalipa wananchi Insurance zao si kama wanatoa bure ndugu yangu.
Tanzani hatuna EI, hilo ni kosa letu. Wenzetu wanajua Insurance maana yake nini, sasa tunalaumu kwanini.
Mortgage hazijabebwa na serikali, kinachotokea ni udhamini lakini mwisho wa siku utalipa na riba juu.
Ni muhimu kuelewa system za nchi za magharibi zinafanyaje kazi, hata hivyo, kwa Watanzania nina uhakika utawapa wengi tu. Ukweli ni kuwa unapotosha. Unaogopa machafuko, huogopi vifo. Kwamba ikiwa watu watatoka na kufa kwa COVID hilo lina nafuu kuliko machafuko unayosema yatatokea. Unajua machafuko yakitokea nani anaathirika! Muongo mkubwa sana wewe.
Nchi za magharibi kama hufanyi kazi unakufa. Ni rahisi ku survive Tanzania kwa mjomba, kaka , dada na shemeji kwa siku kadhaa. Ukiwa nchi za mgaharibi kuna kitu kinaitwa ''bill'' hakuna mtu wa kukulipia.

Watu wanafanya kazi sana kwasababu ukizembea tu huna nyumba, huna chakula unaondoka.
Tafadhali acha uongo, watu waliowahi kuishi na wanaoishi magharibi wakikusoma hapa wanatema mate
Kumbuka wewe ni mmoja wa viongozi serikalini, sasa hoja kama hizi unatia shaka sana.
Wewe ndugu muongo sana.
Kama kuna mahali watu wanakula good time za maisha ni magharibi. Wakati wa baridi shughuli zinahamia ndani, huko watu wanaburudika kama vile hakuna baridi. Acha kudanganya watu kabisa Unakumbuka kipindu pindu kilipoingia rufiji kwa mara ya kwanza, nini kilitokea! nakumbuka? . Finally upo katika terms na ukweli. najua kwamba umepotosha vya kutosha, nafsi inakusuta na hapa mwisho unaonyesha kwa uwazi ukubwa wa tatizo na matokeo yake! unajua lakini uliamua kupotosha umma, nafsi inakusuta.

JokaKuu Pascal Mayalla Alinda
 
Unatoa ukweli halafu unajikanyaga! Ukiona mtu anasema tumuachie mungu, jua kuwa maji yakezidi unga! Hivi ulitaka JPM aseme nini kama si kujaribu kuwaconsole anaowaongoza. Maana kwa hali ilivyo anamwachia mungu tu. Umesahau viongozi kama issue ya maji maji hao ndiyo Viongozi
 
Kibongo bongo kumwambia mtu akae ndani siku 14 ni sawa na kumuambia achague kati ya njaa na corona ipi inaua vibaya.. obvious kila mtu ata-take chance yake kitaa kuliko kufa na njaa..

Maana njaa ni 100% inakudedisha bila kuangalia lakini corona unaweza kupona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…